Bunge lijalo ni hasara kwa Tanzania. Hata sitamani mwanangu aangalie kwa dakika moja maana hana lolote atakalokuwa anajifunza ...maana hata ikija hoja yoyote ya maana hawa wanaopelekwa hawana IQ ya kuweza kujenga hoja maana uwezo wao wa kufikiri na elimu uko too shallow.
Poor Nation
Ni kama alichofanya Magufuli 2020 kujaza vilaza kina Babu Tale na wengineo ili kuandaa mazingira ya kutawazwa kuwa Rais wa Maisha, kama Mungu alivyoamua kesi ya Magufuli na ya huyu Mzanzibari pia ataingilia kati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.