Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,764
- 15,584
Mie sijatumia VPN na jf naipata mkuuKwahiyo mwendo wa vpn tu sasa au
Ukifa lazima tumuoe mkeo.Huyu jamaa tangu awe kada wa mboga mboga akili ilienda likizo Now tuendelee kuvukiza akili irudi tena
Wameifungia jamii forums ya Bongo, sisi tunatumia jamii forums yenye server zake hukooo kwa Mabeberu.Kwahiyo mwendo wa vpn tu sasa au
Utakuwa mwana mtandaoMie sijatumia VPN na jf naipata mkuu
Kijana simu janja yangu wala sihangaiki na hayo mavipieni.Kina Vishu Mtata mtata hata hawaelewi mpaka sasa wapo wapo tuuu
Mkuu kama upo ulaya basi pambe naomba shavu hiloKijana simu janja yangu wala sihangaiki na hayo mavipieni.
Ni shwaa kama nipo Ulaya vile.
"Pambe" ndo nini muuni??Mkuu kama upo ulaya basi pambe naomba shavu hilo
Classmate labda browser unayotumia ina built-in VPNMie sijatumia VPN na jf naipata mkuu
😂😂😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵 Unataka nionekanaje jf humu mkuu.."Pambe" ndo nini muuni??
Unatutia wasiwasi na ushkaji wako na DIVISHENI FOO unatutia mashaka kijana.😂😂😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵 Unataka nionekanaje jf humu mkuu..
Acha ujinga wako wapi nimesema pambe