Yametimia haya, Watanzania Tuamke

Yametimia haya, Watanzania Tuamke

Huyu jamaa tangu awe kada wa mboga mboga akili ilienda likizo Now tuendelee kuvukiza akili irudi tena
Alikuwa mwanaharakati kipi mlimlipa!!!

Wakati watu kama akina lisu wanapigika mwili,akili mpaka mioyo nyie mko busy na mambo yenu,siku wakiona hewalaaaa,mnaanza kuwaona masnitch.

Wacha watu watafute ugali bana hii nchi haina mwenyewe.
 
Back
Top Bottom