Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
Last edited by a moderator:
Mungu akutangulie aisee...Ilo ndo la msingi nazidi kuomba sana
Acha tu now nidili na kuzidi kujiongezea kipato changu mapenzi sasa basi inatosha sasa naweza nikaua mtu familia yangu ikapata tabu
mtu unampa kila kitu,unamsaidia kila kitu mwisho wa siku yeye anakupa maamivu tu ndo zawadi yako wenzangu endeleeni nayo mimi sasa basi[/QUOTE
Everything has been arranged, so pole ma man.
Kwanza nikupe pole mkuu...
ila swal la mapenz nakushaur utulie sana unapotafuta mtu...hawa dada zetu weng cku hiz hawajielewiiiiiii...
Acha tu now nidili na kuzidi kujiongezea kipato changu mapenzi sasa basi inatosha sasa naweza nikaua mtu familia yangu ikapata tabu
mtu unampa kila kitu,unamsaidia kila kitu mwisho wa siku yeye anakupa maamivu tu ndo zawadi yako wenzangu endeleeni nayo mimi sasa basi
Wee nawe haueleweki humu kama uliamua basi sasa unatuambia sie tukufanyaje wakati hatujui yaliyokukuta wala ulipoanzia...mbona haujaja humu kutiambia unatongoza...toa ----- wako hapa!!!
Yaan daaaaa cjui nikuambie nini labda ................PUMBAVUUU
Watu mmeamua kutoa stress zenu
mungu ni mwema utapata mwingine mwenye real love utasahau yote yalopita.Ilo ndo la msingi nazidi kuomba sana