Yamenikuta....

Yamenikuta....

mautundu94

Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
51
Reaction score
18
Nilimpenda dada wa facebook nikamtongoza tukaelewana akawa mpenzi wangu kweli tulikuwa tuna muda mwingi tunachati facebook. Tuna enjoy na utani wa hapa na pale kwakuwa tulipeana namba za simu tukawa tunapigiana sana simu hasa mida ya usiku tunapiga story za kikubwa ile mbaya mimi nilikuwa nasoma chuo yeye aliniambia anafanya kazi huko Arusha japo akuniambia anafanya kazi gani?

Na aliniambia amejipanga kimaisha kwaiyo shida ndogo ndogo yeye hana Maisha yetu yamapenzi yaliendelea vzuri sana japo hatukuwahi kumit live live nilitamani sana nimuone naye alitamani pia anione coz siku zote tulikuwa tunapeana mapenz ya kwenye simu na kupeana hamu tu .

Nilimuhaidi chuo kikifugwa lazma niende likizo huko kwake Arusha kwakweli yule mpenz nilimpenda shida ndogondogo alikuwa ananisaidia sana kama vocher pesa alikuwa ananitumia za matumizi. Siku ya siku ikafika chuo kikafugwa yule mpenzi wangu alifulahi sana kusikia hizo habari akanitumia nauli nikaenda kukata tiketi nikajipanga kesho yake safari ikaanza.

Nikawa kwenye basi nilitamani basi lipae nifike faster nikakutane na mpenzi wangu, nilifika salama nikampigia simu akaja kunipokea pale stend kwakeli tulifulahiana sana tulikumbatiana kwa furaha.

Kwakeli yule mdada alikuwa mzuri sana jamani japo alionekana ana mwili kunizidi mimi lakini alikuwa ana shepu ya kuvutia sana, tukachukua tax tukaanza safari ya kuelekea nyumbani kwake tukafika nyumbani kwake akanikaribisha pale nje tuliwakuta wapangaji wenzake kama wa tatu hivi tukawasalimia akanitambulisha pale tukaingia ndani lakini kipindi tunaingia ndani kuna kauli kuna dada aliongea sema sikuyatilia maanani aliyema ''AMA MWAKA HUU ATAWAMALIZA WENGI'' afu wakacheka wote.

tuliingia ndani akaniandalia maji nikaoga aliniandalia msosi wa nguvu jamani tukala tukanywa kwa kweli maandalizi yalikuwa mazuri sana tukapeana story za hapa na pale na utani mwingi mwingi tukacheza michezo ya kila aina mwisho tukajikuta kila mtu yupo hoi yaani anamuitaji mwenzake kimwili tulibebana hadi chumbani shughuli ikaendelea kwakuwa nilikuwa na hamu na yule mpenzi wangu alafu na kule ni ugenini sikukumbuka condom nikachovya kavu kavu tukapeana mambo kila mtu akalizika tukalala hadi asubuhi.

Aliamka asubuhi akaniandalia chai nkaywa akaendelea na shughuli ndogondogo za pale nyumbani me nkakaa sebuleni nikawa na angalia TV juu ya kabati ya tv nikaona album ya picha nkaichukua nikaanza kuangalia, ndan ya album kulikuwa kuna picha nyingi za mwanaume mmoja na picha nyingi alikuwa amepga na yule mwanaume wakionekana kabisa walikuwa wapenzi na picha nyingi zilikuwa zimewekwa X kumanisha yule jamaa ni marehemu.

Niliwaza mengi sana kuhusu hzo picha mara ghafla yule mwanamke akaingia akanikuta na angalia zile pcha alishtuka sana akaniuliza vp? Baby kuna tatizo??? Nikamjibu hakuna ila naomba uniambie huyu jamaa wa kwenye picha ni nani yako? Akacheka kisha akaniambia jamani baby huyu alikuwaga mpenzi wa zamani sana nikamuuliza yupo wapi? Akanijibu alikuwaga dereva alafu akapata ajali alifariki! DUU nilimsikiliza kwa makini nkampa pole kidogo roho ikatulia.

JAPO SIKUMUAMINI SANA SABABU ZILE PICHA ZILIKUWEPO HADI UKUTANI LAKIN KAPOTEZEA ILIPOFIKA UCKU KAMA MIDA YA SA 4 ALINIAGA ANAENDA KAZINI NILISHANGAA SANA KUONA M2 ANAENDA KAZINI SA 4 UCKU LAKN KWA KUWA SIKUWA KWANGU NILIMRUHUSU AENDE 2 KWA SIKU ILE NILILALA FRESH HADI ASUBUHI.

ILIPOFKA MIDA YA SA 2 AKARUDI MPENZI WANGU TUKAPIGA STORY MBILI TATU AKANAMBIA KACHOKA ANAHTAJI KUPUMZIKA NKAMWAMBIA POUWA.

MAISHA YALIENDA POUWA ZILE SIKU MBILI ZA KWANZA LAKN SIKU YA NNE NKAANZA KUBOREKA NA TABIA YA YULE MWANAMKE KWENDA KAZINI USIKU KURUDI ASUBUH LAKINI NILIVUMILIA TU.

SIKU MOJA NKIWA NAFUA NGUO ZANGU ASUBUH WALE WAPANGAJI WALINIFWATA WAKANSALIMIA WAKAKAA PEMBENI WAKANIAMBIA WANA MAONGEZI KIDOGO NA MIMI NKAACHA KUFUA IKABIDI NIWASIKILIZE, MMOJA AKANIAMBIA 'SAMAHAN KAKA WE NI KIJANA MDOGO MZURI HIVI UMEJIAMINI NINI KUTEMBEA NA HUYU MWANAMKE NA KWANZA UMEKUTANA NAYE WAPI NA UMEANZAJE SABABU WANAUME WOTE WANAMUOGOPA WEWE IMEKUAJE?" NILISHTUKA SANA KUSKIA ZILE HABARI NIKAWAELEZA NILIPOTOKEA NA NILIPOKUTANA NA YULE MWANAMKE HADI NIPO PALE' WALISIKITIKA SANA KUSIKIA VILE WAKANIAMBIA YULE MWANAMKE ALIOLEWAGA NA MUME WAKE KAFARIKI KWA UGONJWA WA UKIMWI NA TOKA MUME WAKE AFARIKI ANAFANYA BIASHARA YA KUUZA MWILI NDO MANA HUWA ANAONDOKA USIKU ANARUDI ASUBUH NA WAKANIAMBIA KAMA NABISHA NIENDE KWENYE DRO YAKE NIKAANGALIE NTAKUTA VIDONGE NA CHETI CHAKE'

AKILI YOTE ILINIHAMA JAMAN NKAIONA DUNIA CHUNGU SIKUAMINI MACHO YANGU NKAENDA NDANI KUANGALIA HVO VIDONGE NA HICHO CHETI ZILE HABARI ZILIKUWA KWELI JAMAN NLIJITUPA KITANDAN NA KUPOTEZA FAHAMU.

ALIYENSTUA NI YULE MWANAMKE ALIVORUDI ALISHANGAA KUNIKUTA KTK HALI ILE, ALIPONIULIZA NIKAMPA ZILE HABARI, ALICHONIJIBU NI HKI! 'SASA KUSKIA HABARI HZO NDO UPOOZE HIVYO MBONA KAWAIDA TU, MBONA ME MGONJWA NA BADO NAISHI VIDONGE SI VIPO WE ULITAKA MI NIFE MWENYEWE HAPA TOWN WEWE'

DUUH!! YALE MAJIBU YALINCHOSHA NKAJIONA SINA THAMANI HAPA DUNIANI NTAWAAMBIA NIN WAZAZI WANGU ELIMU YANGU NI SAWA NA KAZI BURE DAAA'

MUWE MAKINI JAMAN,USIMUAMINI MTU KWA MACHO
 
Pole sana mheshimiwa, wanawake wa FB ni ku wa nao makini sana halafu usimuamini mwanamke ambaye humjui historia yake kwa undani. Inawezekana ukawa hujaathirika hivyo nenda kapime usijihukumu baada ya miezi mitatu.
 
pole sana sio vyote ving'aavyo ni dhahabu,nenda kapime upate uhakika wa maisha ya sasa na baadae ila mmmmh ngoja ninyamaze nilitaka kukushushia maneno hayo..................
 
Itakuwa safi kama hii ni hadithi ya kutunga, kama ni kweli well, I don't know!.
 
Pole sana lakini hujasema kama umeshakwenda kupima au la. Kama hujapima nenda kapime Mkuu unaweza kukuta umenusurika.
 
Mwe mwe mwe kaka siku ya kwanza kavu kavu..duh
asee
pole mwaego go n pima kwanza lakini pengine uko poa
 
Da kumbe imewakuta wengi eee
Haya pole asa atafanyaje ndo ya dunia
 
Mteremko ulikuponza. Pole mwaya.
Nenda kapime kabla haujajihukumu.
 
...Wee nawe sijui ni Ushamba? Mi nashindwa haa kukupa pole. Kuna makosa kadhaa ya kijinga umeyafanya:
1. Hukupaswa siku ya kwanza tu kulala kwenye nyumba ya mwanamke usiyemfahamu vizuri. mambo ya kupenda dezo hayo! ulipaswa ujipange vyema safari yako ili ufikie hotelini na yeye ndio akufuate huko sio wewe ukalale kwake! kama alikuwa na mume wake dereva wa malori na akarudi ghafla bila taarifa?

2.Kufikia hotelini pia kungekufanya uwe umejiandaa barabara na zana zote na hivyo kuepuka wewe kukutana na mwanamke siku ya kwanza peku peku! Unajipenda kweli wewe?

Anyway, Pole. Kapime ujihakikishie Usalama wako.
 
na wewe ulijilipua....

Kwanza mlikutana fb

pili umegonga kavu

ndo maana mnaambiwa mapenzi na shule havichangamani...


Ila nenda kapime unaweza ukawa mzima usikate tamaa
 
hii kweli au umetunga, mana duuh, yani pamoja na kuwa umefika tu watu waksema atawamalia wengi mwaka huu, wewe hata kengele ya hatari kulia kichwani? mmmmmmmmh
 
...mshahar wa dhambi ni mauti,haina kupooza..
 
Naona story zenu za facebook mnazihamishia huku, hata hivyo inafundisha! Akili kichwani mwako!
 
Nilimpenda dada wa facebook
nikamtongoza tukaelewana akawa
mpenzi wangu kweli tulikuwa tunamda
mwingi tunachati facebook. Tuna
enjoy na utani wa hapa na pale kwakuwa
tulipeana namba za simu tukawa tunapigiana sana simu hasa mida ya usiku tunapiga story za kikubwa ile mbaya mimi
nilikuwa nasoma chuo yeye aliniambia
anafanyakazi huko arusha japo
akuniambia anafanya kazi gan?
Na aliniambia amejipanga kimaisha kwaiyo shida ndogo ndogo yeye hana
Maisha yetu yamapenzi yaliendelea vzurisana japo hatukuwahi kumit live live nilitamani sana nimuone naye alitamani pia anione coz siku zote tulikuwa tunapeana mapenz ya kwenye simu na kupeana hamu tu .
Nilimuhaidi chuo kikifugwa lazma niende likizo huko kwake arusha kwakweli yule mpenz nilimpenda shida ndogondogo
alikuwa ananisaidia sana kama vocher
pesa alikuwa ananitumia za matumizi. Siku ya siku ikafika chuo kikafugwa yule
mpenzi wangu alifulahi sana kusikia hzo habali akanitumia nauli nikaenda kukata tiket.nikajipanga kesho yake safari ikaanza.
Nikawa kwenye basi nilitamani basilipae nifike faster nikakutanane nampenz
wangu nilifika salama nikampigia simu
akaja kunipokea pale stend kwakeli
tulifulahiana sana tulikumbatiana
kwafulaha kwakeli yule mdada alikuwa
mzuli sana jamani japo alionekana ana mwili kunizidi mimi lakni alikuwa
anashepu ya kuvutia sana tukachukua tax
tukaanza safari ya kuelekea nyumbani
kwake tukafika nyumbani kwake
akanikalibisha pale nje tuliwakuta
wapangaji wenzake kama wa tatu hivi tukawasalimia akanitambulisha pale
tukaingia ndani lakini kipindi tunaingia
ndani kuna kauli kuna dada aliongea sema
sikuyatilia maanani aliyema ''AMA MWAKA
HUU
ATAWAMALIZA WENGI'' afu wakacheka wote tuliingia ndani akaniandalia maji
nikaoga aliniandalia msosi wanguvu
jamani tukala tukanywa kwakweli
maandalizi yalikuwa mazuri sana
tukapeana story zahapa na pale na utani
mwingi mwingi tukacheza michezo ya kila aina mwisho tukajikuta kila mtu yupo hoi
yaani anamuitaji mwenzake kimwili
tulibebana hadi chumbani shughuli
ikaendelea kwakuwa nilikuwa na hamu na
yule mpenzi wangu alafu nakule ni ugenini
sikukumbuka condom nikachovya kavu kavu tukapeana mambo kila mtu akalizika
tukalala hadi asubuhi akaamka
akaniandalia chai nkaywa akaendelea na
shughuli ndogondogo za pale nyumbani me
nkaa sebuleni nikawa na angalia TV juu ya
kabati ya tv nikaona album ya pcha nkaichukua nikaanza kuangalia ndan ya
album kulikuwa kuna picha nyingi za
mwanaume mmoja na picha nyingi
alikuwa amepga na yule mwanaume
wakionekana kabisa walikuwa wapenzi na
pcha nyingi zilikuwa zimewekwa X kumanisha yule jamaa ni marehemu
MMH.niliwaza meng sana kuhusu hzo pcha
mara ghafla yule mwanamke akaingia
akanikuta na angalia zile pcha alishtuka
sana akaniuliza vp? Baby kuna tatizo???
Nikamjibu hakuna ila naomba uniambie huyu jamaa wa kwenye picha ni nani yako?
Akacheka kisha akaniambia jamani baby
huyu alikuwaga mpenzi wa zamani sana
nikamuuliza yupo wapi?
Akanijibu alikuwaga dereva alafu akapata
ajali alifaliki! DUU nilimsikiliza kwa makini nkampa pole kdogo roho ikatulia.
JAPO SIKUMUAMINI
SASA SABABU ZILE PICHA
ZILIKUWEPO HADI UKUTANI LAKIN
KAPOTEZEA
ILIPOFIKA UCKU KAMA MIDA YA SA 4 ALINIAGA ANAENDA
KAZINI NILISHANGAA SANA
KUONA M2 ANAENDA KAZINI SA
4 UCKU LAKN KWA KUWA SIKUWA
KWAMGU NILIMRUHUSU
AENDE 2 KWA CKU ILE NILILALA FRESH HADI ASUBUH ILIPOFKA
MIDA YA SA 2 AKARUDI MPENZI
WANGU 2KAPGA XTOR MBILI
TATU AKANAMBIA KACHOKA ANAHTAJ
KUPUMZIKA
NKAMWAMBIA POUWA MAISHA YALIENDA POUWA ZILE CKU
MBILI ZA KWANZA LAKN CKU YA
NNE NKAANZA KUBOREKA NA
TABIA YA YULE MWANAMKE KWENDA
KAZINI UCKU KURUDI
ASUBUH LAKN NILIVUMILIA 2 CKU MOJA NKIWA NAFUA NGUO
ZANGU ASUBUH WALE
WAPANGAJI WALINIFWATA
WAKANSALIMIA WAKAKAA PEMBENI
WAKANIAMBIA WANA
MAONGEZI KIDOGO NA MIMI NKAACHA KUFUA IKABID
NIWASIKILIZE MMOJA
AKANIAMBIA 'SAMAHAN KAKA
WE NI KIJANA MDOGO MZURI HV
UMEJIAMINI NINI KUTEMBEA NA
HUYU MWANAMKE NA KWANZA UMEKUTANA NAYE WAPI NA
UMEANZAJE SABABU WANAUME
WOTE WANAMUOGOPA WEWE
IMEKUAJE" NLISHTUKA SANA KUSKIA ZILE
HABARI NIKAWAELEZA
NILIPOTOKEA NA NILIPOKUTANA NA YULE
MWANAMKE HADI NIPO PALE'
WALISIKITIKA SANA KUSIKIA VILE
WAKANIAMBIA YULE
MWANAMKE ALIOLEWAGA NA
MUME WAKE KAFARIKI KWA UGONJWA WA UKIMWI NA TOKA
MUME WAKE AFARIKI
ANAFANYA BIASHARA YA KUUZA MWILI
NDO MANA HUWA
ANAONDOKA UCKU ANARUDI
ASUBUH NA WAKANIAMBIA KAMA NABISHA NIENDE
KWENYE DRO YAKE
NIKAANGALIE NTAKUTA VIDONGE NA CHETI
CHAKE'
AKILI YOTE ILINIHAMA JAMAN
NKAIONA DUNIA CHUNGU SIKUAMINI MACHO YANGU
NKAENDA NDANI KUANGALIA
HVO VDONGE NA HCHO CHET ZILE HABARI
ZILIKUWA KWELI
JAMAN NLIJI2PA KITANDAN NA
KUPOTEZA FAHAMU ALIYENSTUA NI YULE MWANAMKE ALIVORUDI
ALISHANGAA KUNKUTA KTK
HALI ILE ALIPONIULIZA NKAMPA ZLE
HABARI
ALICHONJIBU NI HKI! 'SASA
KUSKIA HABARI HZO NDO UPOOZE HVYO MBNA KAWAIDA
2 MBNA ME MGONJWA NA BADO
NAISH VIDONGE SI VIPO WE ULITAKA MI
NIFE MWENYEWE
HAPA TOWN WEWE' DUU YALE
MAJIBU YALINCHOSHA NKAJIONA CNA THAMAN HAPA
DUNIANI NTAWAAMBIA NIN
WAZAZI WANGU ELIMU YANGU NI SAWA
NA KAZI BURE DAAA'
MUWE MAKINI JAMAN
USIMUAMINI M2 KWA MACHO

KWA SABABU HUJATUAMBIA ULIVYORUDI KWENU ULIENDA KUPIMA NA KUPATA MAJIBU GANI...hi story yako ni ya kusadikika ....
 
hii kweli au umetunga, mana duuh, yani pamoja na kuwa umefika tu watu waksema atawamalia wengi mwaka huu, wewe hata kengele ya hatari kulia kichwani? mmmmmmmmh

hAKA kajamaa kaongo hizi story za kutunga....haiwezekani uishiwe nguvu kabla hujapima afya yako
 
Back
Top Bottom