Yamenikuta wanajamvi msaada please

Mkuu inaonekana na wewe unashinda nyumbani sana eeenh?

kama kweli wewe ni mtu wa kazi masaa 10 kwa siku, huo muda wa kusumbuliwa wapatikana saa ngapi???
 

Nakuelewa......Fata ushauri nliokupa, Well kama utapenda. Ila kaa ukijua akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Zamani nakumbuka baadhi ya wasichana wakitongozwa wanaenda kushtaki kwa mama zao. Naona kama siku hizi inakuwa kinyume chake!
Kuna tatizo...
 

Brother kuwa serious bwana,inawezekanaje eti unataka kukimbia nyumba simply bse of small things like that.Unless hiyo nyumba ina shida zingine ambazo hutaki kuziweka wazi hapa.Solution unayo mkononi,kwa kuwa ulishamuambia kuwa hupendi tabia zake na yeye anaendelea na kwa kuwa anajua wewe umeshaoa haina point ya kusema eti unaumaliza mgogoro kwa usalama,kuna migogoro duniani tena ya kimataifa huwa haiishi kwa usalama yaani namaanisha kwa kuzifurahisha pande mbili 100%.Hakuna njia nyingine zaidi ya kutembea nae uharibu kwa mke wako na kwa mume wa huyo mke ama umwambie mume wake kuwa unasumbuliwa na mke wake ili hapo ukosane na huy changuduo then uwe na amani na familia yako (wife) na huyo mume wa jamaa.So kupanga ni kuchagua wewe angalia uharibu kwa mtu mmoja uwe na amani na watu wawili ama uharibu kwa watu wawili then uwe na amani na mtu mmmja.Ni hesabu ndogo tu ya kujumlisha na kutoa ambayo inatakiwa uifanye basi
 
Pamoja mkuu! Nimekupata

 
Ningekua mwanaume mimi hizi bahati hizi!!!!!!!

Unapenda sana eeeh! Cjui kw nn @ lady anasema angekuwa Me basi Ke wangemkoma! Ke ni wasumbufu halafu ukiwa nao wengi muda wote wanasumbua mara txt, mara muonane, mara birth day, mara tumbo, mara kaconceive na blah blah kibao hope ucngeona ni bahati unless ukiwa bado kijana mdogo mdogo lzm ulambe @ anayejipitisha kwako.
 
Uamuzi wako mzuri...ni kuhama na lazima kumjulisha mkeo sababu za kuhama!! Be faithful.
 
Anakusumbua au mnasumbuana.Mmeshategana wee umeona mitego haitegeki sasa msubiri kufumaniwa tuu?
 

Kwani hili nalo linahitaji ushauri, siku hizi mtakuwa mnakuja JF kuomba ushauri hata wa kwenda haja ndogo na kubwa.

Mwambie, kuwa utamwambie mkeo na mume wake kuwa unamtaka na ni marufuku kukupigia simu za kishenzi. Ukiendelea kuzubaa atakuja kukulengeshea kiasha amwambie mume wake kuwa ama mkeo kuwa unamtaka kimapenzi. Shauri yako endelea kuwa zoba.
 

Hamna cha usumbufu wala nn hizo ni pozi aka mbwembwe tu,,, me ningewashusha sketi mpk,dushe ipinde.
 
Mkuu inaonekana na wewe unashinda nyumbani sana eeenh?

kama kweli wewe ni mtu wa kazi masaa 10 kwa siku, huo muda wa kusumbuliwa wapatikana saa ngapi???

Mura unaamini jambo kama hilo linatokea kwa muda mfupi hivyo, tena ndani ya wiki tu!! hapana! huu ni ushigongo tu, hakuna jipya.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…