Yamenikuta, uchawi kweli upo

Yamenikuta, uchawi kweli upo

Ndio maisha hayo! Umeteleza tu mkuu ni bahati mbaya hivyo usikate tamaa
 
Nilifungua biashara ya chakula mbali kidogo na ninapo ishi. Miezi minne ya kwanza biashara ilikuwa ikienda vizuri, hivyo nikajiwekea mipango kadhaa ya kupanua biashara yangu.

Baada ya miezi kama sita hivi akaja mama mmoja kufungua biashara jirani na kwangu, yani frem ya pembeni yangu kabisa. Tukaanza kugawana wateja, hivyo biashara ikawa inasua sua si kama mwanzo.

Baada kama ya miezi miwili toka yule mama afike kila nikifika asubuhi nakuta friji imejizima; vyakula vimeharika, juisi na maziwa vimeharibika pia.

Ile friji nilinunua mpya kabisa, ilibidi nimuite fundi aikague lakini akasema ipo sawa. Cha ajabu, kuanzia asubuhi mpaka jioni tunapokuwepo tukiwasha friji haijizimi, nikasema tujaribu tusiwashe siku nzima kisha usiku tu ndio iwake lakini bado tukirudi friji imezima na vitu vimeharibika.

Kwa bahati mbaya si kil ulichopika watu watanunua na kitaisha, hivyo ilibidi nibadilishe friji lakini hali ikawa ile ile. Nikaweka jenereta lakini wapi

Kipindi hicho wateja sipati kabisa mpaka nikaamua kufunga ile biashara.

Wewe mama wa kimakonde ulichonifanya pale Kawe sokoni sitakusahau, SITAKUSAHAU MILELE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli sikataai HAYO mamboo yapoo imani ndioo itakupeleka palee unapootakaa
Usipokuwaa na imanii watakupigaa kamampira wa konaaa

Niliwahii mfungulia dadayetu MMOJA biasshara baadaya MWAKA kajamdada MMOJA kafunguaa business ileilee kazii ikawangumu malalmiko KODI....UPANDE wa pili ANAUZA mitungi BALAA dah.

.AKAJA mamammoja sis akamweleza akja na maombii yaa kufamtu akamwagaa majiya BARAKA chumvii Kuua.mapooza YOTEE yalioongelewa

Wakaanza kujaaa mweziujaooo ikapita bomoa bomoa ikalamba zilenyunbaa. Na ya yule sis yaan walipobomoa yahuyo sis ikagongwa nyingine mchezoo ukaishia hapoo..kila kukicha anatumaa watuu bomoa bomoa inarudii mtaomdoka wotee pyuu mpaka keshoo
 
Mkuu hapo ulipo umeme ni mdogo, usiku matumizi ya umeme yanakuwa makubwa hivyo friji kushindwa kufanya kazi!
Nilifungua biashara ya chakula mbali kidogo na ninapo ishi. Miezi minne ya kwanza biashara ilikuwa ikienda vizuri, hivyo nikajiwekea mipango kadhaa ya kupanua biashara yangu.

Baada ya miezi kama sita hivi akaja mama mmoja kufungua biashara jirani na kwangu, yani frem ya pembeni yangu kabisa. Tukaanza kugawana wateja, hivyo biashara ikawa inasua sua si kama mwanzo.

Baada kama ya miezi miwili toka yule mama afike kila nikifika asubuhi nakuta friji imejizima; vyakula vimeharika, juisi na maziwa vimeharibika pia.

Ile friji nilinunua mpya kabisa, ilibidi nimuite fundi aikague lakini akasema ipo sawa. Cha ajabu, kuanzia asubuhi mpaka jioni tunapokuwepo tukiwasha friji haijizimi, nikasema tujaribu tusiwashe siku nzima kisha usiku tu ndio iwake lakini bado tukirudi friji imezima na vitu vimeharibika.

Kwa bahati mbaya si kil ulichopika watu watanunua na kitaisha, hivyo ilibidi nibadilishe friji lakini hali ikawa ile ile. Nikaweka jenereta lakini wapi

Kipindi hicho wateja sipati kabisa mpaka nikaamua kufunga ile biashara.

Wewe mama wa kimakonde ulichonifanya pale Kawe sokoni sitakusahau, SITAKUSAHAU MILELE.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu

Ukiwa na mawazo mgando hivi lazima ufilisike. Badala ya kufanya analysis why mafridge yanazima usiku.. unakimbilia kwa waganga..
Inawezekana kabisa ni kwa sababu ya umeme mdogo hilo eneo kipindi cha usiku. Nyumba uliyopangisha unasema mwanzoni ulikuwa mwenyewe. Sasa kaongeze mtu na kaja na firdge zake pia.... badala ya kupambana na kuboresha sehemu yako.. unakimbilia umelogwa.. Waafrika ndio maana hatuendelei... kaka mchawi ni wewe mwenyewe.. usimsingizie Mama wa Watu
 
Kuhusu friji umeme mdogo hapa kwangu ikifika saa 2 kasoro usiku na kuendelea linajizima hapo mpaka saa 6 usiku ndo unakuwa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ndugu yangu uchawi haupo. Ni wewe tu umekata tamaa mapema. Halafu hujazungumzia ubora wa huduma yako, inawezekana hapo ndo umepigiwa bao wewe unadhani ni uchawi
 
Tufanye Forex haina kulogana. Kimya kimya tu tunafukuzana na life
Screenshot_20200227-164621.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom