Yamenikuta: Mzee Mwagito ameniwekea tego la kutokwa hedhi kila nikikutana na mwanaume

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,408
Maka 5 iliyopita nikiwa nasoma mwaka wa pili kule Iringa nililetewa bahasha na kijana fulani (jina kapuni) aliyekuwa class mate wangu. Ndani ya bahasha kulikiwa na sh laki 3. Fedha hizi zilitoka kwa mzee Mwagito (siyo jina halisi).

Nikataka kuzikataa, lkn shosti yangu mmoja akasema acha ujinga kwani ukila halafu ukamkataa atakufanya nini? Umemuomba kwani? Nikazitafuna na shosti nilimpa kama 30 hivi.

Mzee Mwagito alifanya hivi kama mara mbili hivi. Mara ya tatu akaongeza dau akaweka laki 4 na akaomba appointment ya kuonana naye. Mm ni nani hata nikatae? (Kumbuka simjui).

Siku ya appointment akamtuma dereva wake na gari kali kuja chuoni kunichukua. Gari ikafika chuo tukaingia na shosti ndani ya gari. Gari full kiyoyozi. Dereva kaiva anang'ara. Nikajua ndiye aliyekuwa ananitumia hela kumbe siye.

Gari ikapiga mwendo hofu ikiwa imenijaa mpk hotel fulani. Ile nashuka tu nikamuona yule kijana ninayesoma naye, hofu ikapungua kidogo. Yule kijana akatupeleka lounge room, tukamkuta mzee Mwagito.

Mzee mwenye uso usio na mahusiano na fedha. Mshamba fulani mwenye lafudhi ya kinyalu. Hajakoga sawasawa akafanana na kipato chake. Yaelekea fedha zimemvamia hivi karibuni tu. Uso wangu ukakakamaa kwa hasira nikataka kuondoka shosti akanikanyaga kuashiria nitulie.

Mzee anaongea mm sina time nimekunja ndita. Muda haukupita tukaomba tuondoke. Mzee Mwagito akafunua koti lake na kutoa bahasha nene (ndani kulikuwa na laki 5) akanikabidhi na kunitaka radhi kwa usumbufu.

Tulirudishwa chuoni na dereva wake. Siku 7 zikapita ndipo akanipigia simu kunisalimia. Nikajikuta naitikia japo siyo kwa uungwana wa kutosha. .

Mzee Mwagito alivumilia mengi na alinifanyia mengi kwa muda miezi 8 ndipo akafanikiwa "kuushinda moyo wangu". Hoja yake kuu alitaka niwe mkewe. Mm nilikataa katakata. Akabembeleza wee nikaona nimkubalie ili kumridhisha tu na niendelee kuipata sabuni ya roho (fedha) toka kwake.

Mzee Mwagito akaongeza matunzo akijaua kapata mke, kumbe namchuna tu. Nilipomaliza chuo nilikaa mwaka mzima Iringa nikila, kuvaa na kula bata utadhani nina kazi kumbe nakula fedha ya mzee Mwagito. Nitake nn mzee huyu asinifanyie. Nilisafiri sana, kula bata sana kwa hela yake.

Ktk bata zangu nilikutana na mkaka handsome nikaona huyu ndiye wa kunioa. Nikampiga chini mzee Mwagito kimya kimya tukahamia zetu DSM. Hili ndiyo lilikuwa kosa kubwa Sana.

Mzee Mwagito alikasirika na kuamua kufanya mambo yake ya kienyeji. Nikawa kila nikitaka kukutana kimwili na kijana huyu napatwa na hedhi. Ikaenda ikaenda huyu kijana akaona isiwe tabu akanipiga chini. Maana alichoshwa na shida hizi.

Kila nikienda kwa wataalamu wanasema dawa ya hii kitu ni kurudi kwa mzee Mwagito ukaolewe naye. Kwa kweli hili siwezi kulifanya. Mtu mzima huyu zaidi ya baba yangu naanzaje kuolewa naye?

Mpk Sasa ni mwaka wa 5 siwezi kufanya mapenzi wala kuolewa. Niko kwenye shida.

WanaJF naombeni ushauri wenu nifanyeje??
 
Sawa tu....mmezid kula hela zetu wazeee sisi
 
nakuona.View attachment 1615807View attachment 1615809
Screenshot_2020-10-30-10-25-41.jpg
View attachment 1615808View attachment 1615810
 
Siku hizi rahaaa yaani tokea network zizimwe hakuna comments sana🤣🤣

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
2457376_JamiiForums-621070314.jpg
 
Angalia Channel ya Emmanuel Tv na fuatilia kwa makini, tiba iko hapo - (on DSTV 390 au Startimes, Azam Tv) you need healing and deliverance by a TRUE MAN OF GOD! Jesus never said goodbye, He is alive. Warning - no payments before or after healing, it is totally free, avoid fraudsters.
 
Bado unapata hedhi ya Mzee Mwagito?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom