Yamenikuta mwenzenu.....

Hakuna tusikofika kwenye hii dunia.
Seheme pekee ni kuzimu.

Nilikuambia Achana na Mume wa Dada yangu ukajitia mtoto wa mjini.

Ati mtoto kutoka Kanda ya ziwa ngoja tukuonyeshe watoto kutoka baharini tukoje. Kenge wewe.

Nakuhakikishia Hutatoka katika mipaka yetu. Ukifanya mambo yako ulidhani hauonekani. Tukaja tukakuonya ukatuona malofa. Hiyo ni Vuli subiri masika.
 
Haaaaaaaaaaaa kumbe mchepukajiii haaaaaaa mtafteni apate haki yakee
 
Haaaaaaaaaaaa kumbe mchepukajiii haaaaaaa mtafteni apate haki yakee


Yeye si bingwa wa kuvuruga ndoa za watu. Sasa amefanya Wrong turn 5.

Katika hili hakuna wa kumsaidia chini ya jua. Hata huko angani ameshaharibu. Tumeshapeleka mashtaka.

Atatafutwa angle zote
 
Yeye si bingwa wa kuvuruga ndoa za watu. Sasa amefanya Wrong turn 5.

Katika hili hakuna wa kumsaidia chini ya jua. Hata huko angani ameshaharibu. Tumeshapeleka mashtaka.

Atatafutwa angle zote
Ila roho mbaya hiyo..humu wanaume wote tunashirikiana tu.
Hata kwenye kikao Cha juzi tulisisitiza hakuna Tena MUME wa mtu, Bali kutakuwa na MKE wa mtu TU.
Tafadhali wanaume wenzangu tuzingatie maazimio
 
Pole sana dada, maisha yana mapito mengi.

Japo kwa comments zako huwa upo arrogant sana.
 
Vipi mkuu umemsema mkulu kwenye group la wasapu nini? ngoja aione mzigua maana kwenye ule uzi wa matajiri wa moshi mlirukiana balaa, politics kwa tz ni hatari sana
 
Duh aiseee
 
Duh aiseee
Teh teh teh teh nacheka kireno
Anashindwa kumface shemeji yake aniache,awe busy na dada yake anakuja niomba mie mchepuko nimwache shemeji yake,maajabu.
Mimi nilitongozwa kama alivyotongozwa dada yake na ni mwanamke kama alivyo dada yake tena nimekamilika idara zote.
Halafu si mnasemaga michepuko ni ya kupiga na kuacha,mbona shemeji yake kashindwa kuniacha?
And yes mie mtoto wa mjini original from lake zone,mipaka nitaivuka na hamuwezi nizuia si yeye wala huyo mke.Tena nitaondoka na huyo mwanaume ili joka jeusi na familiar yao mlie vizuri,hahahah manake mnamtegemea huyo shemeji kuishi mujini,shubamittt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…