The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Siwezi kuwa specific ndugu,hali bado TeteNatamani kukuonea huruma ila sijui nikuonee kwa lipi maana hujaeleza kua specific kama Article "The"
Habari za usiku
Kweli usilolijua ni usiku wa Giza
And when it rains it pours
Yamenikuta mwenzenu
Toka last week sina raha
Saivi nahangaikia passport niende zangu south ama Botswana
Kweli hujafa hujaumbika
Anyway nitasimama tena Mungu ni mwema
Nb:nahitaj faraja zenu kashfa zenu ziwekeni pembeni kwa leo.Nioneeni huruma ndugu yenu.
Sijajitakia ndugu,yamenipata tuYamekukuta yapi? Umeachwa na mpenzi uliyemuiba kwa shost na kufukuzwa kazi, umefumaniwa ukiwa na mchepuko umepewa talaka?
Kama yaliyokukuta umejitakia nenda zako Sauzi au Botswana, huna jinsi.
Mume wa mtu bongoUlikua unaruka na mume wa mtu nn? tukuombee tusichokijua..
Sijajitakia ndugu,yamenipata tu
Kifo cha wengi,machozi huenda kwa wengi
Naumia basi tu Sina jinsi
Dua yoyote lazima utamke una tatizo gani?Niombee tu na hili lipite salama
Asante siwez sema hali hairuhusu kwa sasaPole japo hutaki kutwambia una tatizo gani?
Nambie boss wangu
Ajali gani?Mlikuwa mnaiba mafuta ajalini?
Unajiombea huruma kwa ajili yako mwenyewe kwenye msiba wa wengi, si ubinafsi huo?
Asante siwez sema hali hairuhusu kwa sasa
Usingeanzisha uzi sasa maana kila member atahitaji kujua una tatizo gani?Asante siwez sema hali hairuhusu kwa sasa