Yamenikuta: Mapenzi mchezo mchafu

Naona issue ya elimu inaleta maswali mengi sana ila poa sio mwanafunzi ya sec
Nan amesema ni mwanaafunzi!?tunajua ameshamaliza kulingana na maelezo yako,mimi nataka nijue amemaliza nin?ili niweze kukushauri
 
Mwingize kwenye 18 zako then kula papuchi kisha mpasue na marinda kwa kisingizio kwamba unamwonyesha love, then piga chini!!!! Shenzi type.
 

Hizi stories zako peleka kule facebook au badoo. Tumechoka sasa.
 
Nan amesema ni mwanaafunzi!?tunajua ameshamaliza kulingana na maelezo yako,mimi nataka nijue amemaliza nin?ili niweze kukushauri
Dah mada inajieleza sidhani kujua amemaliza lini itasaidia
 
Anakuchezea unajua na bado unatafuta ushauri, uamuzi ni wako kwani amekuambia na hutaki kumsikia.
 
kwa mwanaume ni tabia mbaya sana kumpa mwanamke moyo wako. Matokeo yake ndo hivo sasa... Huyo mwanamke ni hatari usirudi kwake kwa hali yoyote ile
 
Kulikuwa hakuna great interaction between me and she,hivi kama unahisi ukitumia kiswahili utaeleweka sio utumie tu hichocho?=...**She haifany kazi kama pronoun kwa namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…