Yamenikuta leo! Exim bank.

Nenda kuwahoji huku umeshika shoka watakuwa na majibu ya outflows ya hela zako.
 
ajabu sasa hao customer care
eti na wao hawajui kwanini akaunt imefungwa
nilichukia sana, nikaja
home kulala tangu sa 6 ndo naamka sa hizi
akili kidogo imepunguza
maumiv nasubiri j3,
ntahamisha vijisenti vyangu bora nivitie
kwenye kibubu! Yaani imenibidi ile senti niitupie hapo m pesa mpaka j3
maana kwa hasira zile
karibu niingie makalio bar nkazigide
Mimi hela zangu huweka kwenye kibuyu,nikisafiri naweka kwenye soksi au sidria ya mamsap,siweki hela yangu benki bana kwanini ninyanyasike wakati hela yangu mwenyewe ati benki initunzie ah wapi natunza mimi mwenyewe,hakuna cha makato ya ATM wala service charge,hela yangu ,mnikate riba halafu mufanyie biashara(siku hizi benki zinaikopesha serikali) halafu mimi naambulia sifuri
 
ni wajibu wao kunialart
na kunijuza hizo terms zao ukifika pale lets say ni mtu wa elim ta kawaida tu unakuta liform limeandikwa madubwana ya ajabu ajabu, unaambiwa ucopy na kupaste yes no na blablabla,,kama umekusanya hela zako za viazi mbatata huko unajiwekea tu mwisho wa siku ndo ujinga huu!
Kwan sim email na adress zetu wanachukuaga za nini?kwaninihawakuninotfy?

Na wewe ulitoka wapi na vibenki uchwara hivyo?
 
Huduma za bank Tanzania bado mbovu sana, najisikia afadhali kidogo kwa sasa nimehamia FNB nimefurahiwa na huduma zao, CRDB walishanikorofisha na ushamba wao. Customer care za Bank ni bure tu ni wapumbavu hawana majibu ya kutosheleza wapo wapo tu halafu wajeuri utafikiri hiyo huduma wamelazimishwa na hawalipwi, kumbe wanalipwa. Ushauri wangu mkuu ni bora hangaika na hakikisha unapate hivyo vijisenti vyako na ukivipata tu toa vyote na funga account katafute bank unayoona huduma zao ni nzuri, achana na hizo Bank uchwara.

atm ya crdb temeke hospt iliishka kadi yangu,nkaenda vjana nkapewa,wakasema haifai,nikaenda udsm ambako nimefungua,wao wakasema nifate new card afta 14 days,mpaka jana saa 6 mchana hawajanitext,najipanga kesho nikapate breakfast na lunch pale,maana napata adhabu nisostahili,binafs sijawai kupata benk icyo na USUMBUFU!
 
ninyamazee wakati
that account is my life! Sina nyngne nilishidwa kufwatilia
jana sbb nilifika pale ubungo mida ya sa 5 na since ilikuwa j.mos
sa 6 wanafunga, j4
nadhani watanipa na lunch palepale
Mimi ni mmasai mkuu, nitakuazima sime yangu siku hiyo uende nayo.
 
ajabu sasa hao customer care
eti na wao hawajui kwanini akaunt imefungwa
nilichukia sana, nikaja
home kulala tangu sa 6 ndo naamka sa hizi
akili kidogo imepunguza
maumiv nasubiri j3,
ntahamisha vijisenti vyangu bora nivitie
kwenye kibubu! Yaani imenibidi ile senti niitupie hapo m pesa mpaka j3
maana kwa hasira zile
karibu niingie makalio bar nkazigide
Makalio bar?iko wapi?Mx
 
Ukifika ukiona hawaeleweki waambie nataka kuongea na manager! Unaweza kuazima binduki yangu, ila ukitumia risasi utazilipia tafadhali. Pole sana
 
na wewe ulitoka wapi na vibenki uchwara hivyo?

ipi sio uchwara
zile unazohangaishwa
leta barua ya mjumbe
sijui wadhamini serikali za mtaa

nonesense nyumba zenyewe uswazi humu twahama usiku na mchana af we unizingue na mlolongo wotw
why!!??
 
atm ya crdb temeke hospt iliishka kadi yangu,nkaenda vjana nkapewa,wakasema haifai,nikaenda udsm ambako nimefungua,wao wakasema nifate new card afta 14 days,mpaka jana saa 6 mchana hawajanitext,najipanga kesho nikapate breakfast na lunch pale,maana napata adhabu nisostahili,binafs sijawai kupata benk icyo na usumbufu!

sasa km mie nimeweka
vijipesa vyangu
leo naambiwa bank
imefunga akaunt yang
hawana maelezo yanayoeleweka
what kind of nonesense is this?
 
ukifika ukiona hawaeleweki waambie nataka kuongea na manager! Unaweza kuazima binduki yangu, ila ukitumia risasi utazilipia tafadhali. Pole sana

khaaaa,risasi nilipie wapi wkt vijisenti
vyooote wamenichuna

ila itabidi nianzie bar
kwanza nkakamue ulabu
ili niwe na "konfidensi"
na kitumbo hiki lahaula
nawatapikia ili sku
ingine wawe makini na kazi zao. Mwez wa pili naenda kijijini kama si kugundua jambo hili mapema lahaula ninhetembea kwa mguu toka ms hadi hapa lool
 
lazima wakushtukie kwa sababu unaweka pesa tu bila kutoa kwa miezi 6!

is none of their business
as far as im concerned sijavunja sheria
na hiyo ni akiba yangu,kwanza nawafaidisha wao coz my money ipo kwenye
mizunguko ya biashara zao,
 
lazima wakushtukie kwa sababu unaweka pesa tu bila kutoa kwa miezi 6!

is none of their business
as far as im concerned sijavunja sheria
na hiyo ni akiba yangu,kwanza nawafaidisha wao coz my money ipo kwenye
mizunguko ya biashara zao,kwa faida zao
 
Back
Top Bottom