Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
- Thread starter
- #41
hahaha kibubu watoto hawachelewi kukimeng'enyua kisa wanatafuta sh 50 za aiskrimu
kwahiyo kwenye godoro unaona ni salama zaid lol
weka kibubuni then chimbia chini ya
mti bhana