kimange
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,339
- 1,300
Itabid usubir usiku wakilala ndio utoke,au ulale na beki tatu upige usiku kucha usepe alfajiriAseeh mkuu hapa nitavunjwa mbavu na hyu mzee maaana namjua vizuri[emoji36] [emoji36]
Itabid usubir usiku wakilala ndio utoke,au ulale na beki tatu upige usiku kucha usepe alfajiriAseeh mkuu hapa nitavunjwa mbavu na hyu mzee maaana namjua vizuri[emoji36] [emoji36]
Mkuu inaonekana unafulahia mi mwenzio ndo yamenifika kichwan[emoji22] [emoji22]Ahahaaa yaan ww jamaa unanivunja mbavu na matukio yako
Nouma sana ngoja nisubiriNenda kamwambie ulipeleka gobore lisafishwe najua huyi boss atakuelewa tu et[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
mkuu ndo msaada huo?nachukua ZIMAMOTO mengine pambana tu huko!
kaite kakaze mara ya mwisho afu toka jiandae kwa lolote!...mwanaume hushindwi kitu 😀mkuu ndo msaada huo?
mkuu weng najua mtajua najipigia upatu ila hapa hakuna cha kutunga ni kweli kila kituHii ID nimeanza kuielewa lengo lake
alafu hizi dharau huwa sizipendi ila basi tu[emoji20] [emoji20] [emoji20]Afadhali shule na vyo vifunguliwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Chalie champlion
Hatari sana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya mkuu. Im watching...mkuu weng najua mtajua najipigia upatu ila hapa hakuna cha kutunga ni kweli kila kitu