incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,533
- 4,290
- Thread starter
- #41
hapo lazima afe mtu walahi kudadek hafil...mtu hapa[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kuwa mwangalifu unaweza rudi kwako bila marinda
hapo lazima afe mtu walahi kudadek hafil...mtu hapa[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kuwa mwangalifu unaweza rudi kwako bila marinda
hapana mkuu yule haiwez tokea nampenda had kesho[emoji7] [emoji7] [emoji7]Ni yule kikongwe?
Haya kiben11 cha mtuhapana mkuu yule haiwez tokea nampenda had kesho[emoji7] [emoji7] [emoji7]
asee unakosea mi c dume suruali ni dume haswa sinaga hizotoka sema umeagizwa na mke wake uwapeleleze kama wana mahusiano naushahid umeisha upata
naona hutaki kutoka humoasee unakosea mi c dume suruali ni dume haswa sinaga hizo
mkuu bado ndo yupo epsode ya 56 yaani hapa nimevhokanaona hutaki kutoka humo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee baba hapa umetisha..sasa unga wa ngano anaupata wapi mkk[emoji2] [emoji2] [emoji2]Njiq ziko mbili.
1. Lala mpaka usiku kwani wakilala tuu binti atakutorosha,
Hapa ningeshauri ukaingia chini ya uvungu kabisaa
2. Roho ngumu we toka humo ukiwa umekaza jicho, mpe hi mzee akikusemesha mwambie utamwambia mke wake kwa ulichokiona hafu toka taaratibu kwa kujiamini
Wakati huo atakuwa bado amepigwa na butwaa ukifike nje tuu aseeee fanya mazoezi ya mbio ndefu
Msaada ni huo.
Kuna hii ya kujifanya mzimu naona haitokufaa
Unajipaka unga wa ngano mwili woote hafu unamtisha mzee kwa nyuma, akitishika tuu unamwamuru aingie chumbani wewe unavaa nguo zako unasepa.
Hii inafaa sana usiku mkuu mchana huu usijaribu
Mchicha wa mwiba utaujua tu tena maswala ya kuulizana umri hapa na stotus inasoma ....me...ndo nini sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulisema umri wako ni miaka mingapi vile?
nin mkuu[emoji23] [emoji23]Aisee!
VyuoAfadhali shule na vyo vifunguliwe