incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,533
- 4,290
Habari za saizi wakuu
Hakika Mwaka huu naona unazidi kwenda kinyume na nilivyoutarajia awali.
Yaani nimeamini sikio la kufa halisikii Dawa, na siku ya kufa nyani miti yote huteleza ni jana tu nilivyokoswa ngumi iliyotoboa ukuta kutokana na michezo hii...hii ya kuwagegeda mademu nikala winga[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sijui ni pepo gani hili lililoniingia yaani nimelala nje kwa kuhofia nikienda geto yule mafia ataninyofoa roho[emoji22] [emoji22]
Ila basi leo asubuhi mida nanyapia nyapia kurudi geto kiwizi wizi na uoga uoga...Mara simu inaita...kuicheki nakuta kanapiga kasafisha bunduki kangu ka siku nyingi..
Haka sijawahi kukazungumzia hapa jukwaani maana huwa nakachukulia kama kasafisha Gobore tu
Kingine huwa Sipendi kujishushia heshima kusema nafinyox hata vibeki tatu ndio maana hata kwenye Simu nimekasave "ZIMAMOTO"
Kiufupi sihitaji kuendelea kukazungumzia maana kana sura nyeusi kama wino wa printer[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio maana nakatumiaka kwa domestic use..nikipandwa na GENYE mida kibosile changu kikiwa jobu[emoji2] [emoji2]
Sasa mazoea ya haka kasafisha bunduki kangu huwa kakipata mda kananipigia simu naenda kukafinyox room kwake..
...Kupokea simu naambiwa kamemis Dudu.. et!
...alafu mi mwenyewe nakumbuka jana nilikatishiwa njiani na yule mafia sikurudi kumalizia mchezo geto kwa yule manze niliemwacha geto asee nikaona ngoja nikazimue kwanza fasta fasta maana haka kasafisha bunduki huwa nikienda huwa sinaga ile michezo ya kiufundi... nikifika nakuta kamejiseti tayari ni kukadaka na kuanza kukakamua [emoji23] [emoji23]
Asee nimekurupuka zangu ndani na singlend tu na pensi nimefika nikakakuta kanaosha vyombo sebuleni, nikakaanzia hapo hapo kwa hasira bila hata cha salamu wala nini[emoji23] [emoji23]
Nikakanyanyua hadi chumbani kwake huwa mida hii nikienda inakuwa mida salama kabisa maana huwa boss wake wote wameenda kazini...
Aseeh sasa leo sijui ndo shetani mida nipo zangu nagegeda mara nasikia mlango wa sebureni unagongwa [emoji15] [emoji15]
na tumshukuru mungu mimi nikiwa na haka huwa hatuna cha stori wala sauti ni part ya kimya kimya tu.
Mara hako kakakurupuka kakavaa nguo fasta kakajifuta fresh kamerudisha mlango wa chumba nilichopo kametoka kwenda kufungua ..[emoji126] [emoji126]
Aseeh alafu na huyu boss nimemstukia nayeye,,,,
kumbe ni kweli huwa wachawi ndio hufahamiana [emoji23] [emoji23]
Maana ameingia tu mida hiyo nipo zangu rum napiga chabo matukio kupitia tundu la lens la mlango nae amekadaka pale pale baada ya kufunguliwa mlango amekanyanyua juu juu na kukabana kwenye sofa aseeh....[emoji23] [emoji23]
Hawa wazee usiwaone hivu hivi na vitambi vyao yaani kamanze kamejaribu kujibaragua na kujinasua ...Wapi....Mzee amekakaza nikiwa nawazoom tu [emoji87] [emoji85]
Kumbe huu mchezo utakuwa umezoeleka kwa hawa watu
ila freshi mi hainiumi hata kidogo kwanza kimanzi chenyewe huwa nakitumia kama msafisha bunduki tu[emoji2]
Sasa hapa balaa katika kusikilizia sikilizia maongezi ya hapa na pale..nimemskia huyu mzee kwa sikio langu anakaambia kamanze.
"Bby leo kazini staenda tutashinda hapa hapa mimi na wewe"
Na kwanza ndo kaweka na movie ya Jumong,,, eti ndo yupo season One Epsode ya 17[emoji22] [emoji22]
Yaani hapa humu ndani nimechoka kusimama mlangoni nikitaka ku move postion inabidi nipige hatua za kunyata kama 'CHALIE CHAMPLION' [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hapa penyewe nimeweka Simu Silent..
Sasa kwa kuwa najua huku kuna ndugu jamaa na marafiki wanaotaka waendelee kuona mwandiko wangu humu Jf na kubadilishana mawazo katika majukwaa mbali mbali naamini watanipa staili ya kuepuka kikombe hiki[emoji23] [emoji23]
Maana hapa humu ndani nimepiga chafya kama tatu hivi za gafla [emoji31] [emoji31] [emoji36]
sema tu huyu mzee ameweka sauti ya juu sana afu yupo deep kwenye movie angeshaniskia
Yaani nahisi leo nimepatikana, au ni kwasababu juzi nilitubu na kutoa ahadi ya kubadilisha maisha yangu afu nimeendelea ndo mungu anataka nifie mikononi mwa hili zee[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Jaman nisaidieni namna ya kujinasua hapa.