Yamenikuta aisee

Yamenikuta aisee

Unaangalia TV gani sasa?
1533467920240.jpeg
 
Wengine taarifa nyeti za habari tunazipata hapa JF.
Weka picha tumuone
 
😡 Nyumbu wengi sana aiseee.. Some are walking like humans but are wildebeest mentally... Kilaza kabisa
 
Wengne tv za bongo tunatumia kuangalia ze commedy pekee, wale ndo wakuamin maana ni uongo na wote tunajua n uongo
 
Habari za muda huu wa JF ,binafsi nimeona watangazaji wengi wa kike lakini huyu amenikosha kabisa huwa anatangaza taarifa ya Habari ITV kwa jina anaitwa Farhia Middle ,yaani huyu dada anavyoongea huwa najisikia raha sana ,sauti yake inanikosha vilivyo ,I wish one day I gone meet with her japo nimshike mkono ,Dada popote ulipo heshima yako sana,I salute you
Nimejaribu kuangalia sentensi yoyote inayomaanisha "Yamekukuta" sijaona aisee
 
Back
Top Bottom