Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
We bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi wakati unaishi karibu na mbuga ya Mikumi, ataingia simba....He he he, ngoja baresa akilazwa niongee na madokta wamkamue afu nizipeleke Morogoro, mtaniona na Lirenji limeandikwa 'Konnie'