Yamenikumba....

Yamenikumba....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Nawatahadhirisha Wanaume wa Jf wote kua endapo watakua na wapenzi wa nje wawe makini sana, baada ya tendo hakikisheni kondom ulotumia unaitupa toilet na una flush.

Kuna msichana ambaye niko naye karibu miezi 8, kuna siku baada ya sex (mwanzoni) nataka kutupa condom akaichukua na kuanza kuiangalia, nikamuuliza kwa nn anafanya hivyo, akanijibu kua anataka kuona ujazo wangu ukoje....nikaenda toilet na sikujua alipoiweka ile condom, nilipatwa na wasiwasi kidogo.

Huyo msichana alikuja kunitawala sana, nikawa nampa mapesa mengi na vitu vingi vya thamani bila kujijua,nikaanza kushtuka kua mambo ninayoyafanya sio sawa.

Juzi nikaona ngoja nimpigie shoga yake na kwa kua wamegombana nikajua ataweza kuniambia kama kuna jambo.

Akaniambia kua amewahi kumwambia kua alichukua shahawa zangu na kuzipeleka kwa mganga Morogoro kijijini na ni kweli mara nyingi nimeongea naye huniambia yuko Moro lakini hakutaka nijue yuko na shughuli gani huko.

Ninajitahidi sana kumuepuka, lakini huwa ananiibukia na akitaka kitu huwa nashindwa kumkatalia.

Naombeni ushauri wenu na hivi mmewahi kusikia haya mambo??
 
Nipe namba za demu wako na mie anipeleke loh kumbe rahisi hivi jamani.ntaanza na za nanii wa humu anajidai bahili lol :smile-big:
 
Nawatahadhirisha Wanaume wa Jf wote kua endapo watakua na wapenzi wa nje wawe makini sana, baada ya tendo hakikisheni kondom ulotumia unaitupa toilet na una flush......
Kuna msichana ambaye niko naye karibu miezi 8, kuna siku baada ya sex (mwanzomi) nataka kutupa condom akaichukua na kuanza kuiangalia, nikamuuliza kwa nn anafanya hivyo, akanijibu kua anataka kuona ujazo wangu ukoje....nikaenda toilet na sikujua alipoiweka ile condom, nilipatwa na wasiwasi kidogo
Huyo msichana alikuja kunitawala sana, nikawa nampa mapesa mengi na vitu vingi vya thamani bila kujijua.....
Nikaanza kushtuka kua mambo ninayoyafanya sio sawa...
Juzi nikaona ngoja nimpigie shoga yake na kwa kua wamegombana nikajua ataweza kuniambia kama kuna jambo...
Akaniambia kua amewahi kumwambia kua alichukua shahawa zangu na kuzipeleka kwa mganga Morogoro kijijini na ni kweli mara nyingi nimeongea naye huniambia yuko Moro lakini hakutaka nijue yuko na shughuli gani huko...
Ninajitahidi sana kumuepuka, lakini huwa ananiibukia na akitaka kitu huwa nashindwa kumkatalia.......
Naombeni ushauri wenu na hivi mmewahi kusikia haya mambo??

Naomba namba ya huyo dada nina maongezi naye. Plz:gossip:
 
Nipe namba za demu wako na mie anipeleke loh kumbe rahisi hivi jamani.ntaanza na za nanii wa humu anajidai bahili lol :smile-big:

Umeona eee, hawa hawa wa JF ndio wa kuwakomesha! Boflo tunasubiri namba.
 
Last edited by a moderator:
Hapiness mie nasota kila siku hata baskeli hawani hongi loh napigania madaladala ya post adi vigimbi khaa.bora kajileta mwenyewe hapa atupe namba na sie tunufaike.
 
Hayo mambo yapo sana huko Zimbabwe...halafu wanaofanya hivyo sana ni machangudoa!!
 
Naomba namba ya huyo dada nina maongezi naye. Plz:gossip:
Wewe maongezi ya nini... We njoo uchukuwe zangu halafu uone kama utanipata... Angalieni, msije mkachukuwa manii za waganga au watoto wao.... Kama huamini, kachukuwe mambegu ya huyo mganga zilikopelekwa mbegu za Boflo kama utampata
 
Umenona kwa kiasi gani? Kama mkia wa kondoo au wa mbuzi??? NATAFUTA ALIYENONA nikikaa naagiza tu, leo nataka White vogi, nataka kwenda nairobi kununua karoti na shoping za jikoni ha ha haaaaaaaaaaa Boflo mbona unaniwekea usikuuuuuuuuuu!
 
Last edited by a moderator:
Hapiness mie nasota kila siku hata baskeli hawani hongi loh napigania madaladala ya post adi vigimbi khaa.bora kajileta mwenyewe hapa atupe namba na sie tunufaike.

Kuna watu wengine hawataki wenzao wapate, sasa huyu Bofulo kaishia wapi tena??? kutoa namba tu anaona tutafaidiiiiiiii!
 
Nipe namba za demu wako na mie anipeleke loh kumbe rahisi hivi jamani.ntaanza na za nanii wa humu anajidai bahili lol :smile-big:

Anza na mimi niko tayari hata kukupa kondom 3 zenye ujazo wa kutosha ila uwe mvumilivu ha ha haaa :A S-fire1:!!!!
 
We boflo sasa kwa vile wamekosana na shost yake umeamua uwe na shost karibu ili mmharibie dada wa watu. na huyu dada ndo wale wale mbona kabla hawajakosana hakuwahi kukwambia? Tafakari!!!
 
Sio shida kwangu Babu lao ni hakikishie kwa kuleta Bank statement zako na ziwe za CRDB na BANK M hapa na aina ya magari unayomiliki.hapo waweza kuleta zotee hata kwenye condom 5 na mie ntamtafuta Boflo anipeleka kwa demu wake twende zetu Moro.yaani hapo mie lol ntaendeshaje magari ya kifahali na kulala angani loh.
 
Hiyo ndo opportunity bana huyoo anatubania.Bofloooooooooooooooooooo njooo haraka bana nini wewe kuturusha roho.
 
Hapiness mie nasota kila siku hata baskeli hawani hongi loh napigania madaladala ya post adi vigimbi khaa.bora kajileta mwenyewe hapa atupe namba na sie tunufaike.

haahaahaahaa! Had nimeshindwa cha kuandika! Ntarudi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom