Wadau ,naombeni ushauri wenu,nimepata mchunga kutoka Machame yaani Binti wa kimachame,lakini familia yangu pamoja na jamaa zangu hawapo tayari kuona naendelea na huyu msichana.Wakidai mabinti toka huko sio wazuri sana kuolewa au kuchumbiwa kwasabu ,inasemekana tabia za huko machame sio nzuri kwa wanaume wanaowachumbia na kuwaoa na Hawajasema tabia zipi.Sasa naombeni mnijuze ni tabia zipi na mambo yepi mabaya ambayo watu wengi huwasifia kwamba hawa watu wanayo? Naombeni ushauri wadau wangu
Mtungue manati mapem huyo, mmachame si mke wa kuwa naye hata wa bure. Hao watakuja kukuua kama una mali na kama hauna watakulazimisha kuwa mwizi/jambazi. Tupilia mbali.
Wadau ,naombeni ushauri wenu,nimepata mchunga kutoka Machame yaani Binti wa kimachame,lakini familia yangu pamoja na jamaa zangu hawapo tayari kuona naendelea na huyu msichana.Wakidai mabinti toka huko sio wazuri sana kuolewa au kuchumbiwa kwasabu ,inasemekana tabia za huko machame sio nzuri kwa wanaume wanaowachumbia na kuwaoa na Hawajasema tabia zipi.Sasa naombeni mnijuze ni tabia zipi na mambo yepi mabaya ambayo watu wengi huwasifia kwamba hawa watu wanayo? Naombeni ushauri wadau wangu
Nashukuru mkuu ,ila hata yeye nimemhoji alichoniambia ni kwamba hivyo vitu vipo ila ipo kwa baadhi ya watu lakin sio wamachame wote wapo hivyo.Kwa hiyo nikaona ni busara nije niombe ushauri hapa kwa waalamu zaidi ili tushare ideals.
Ulitegemea akwambie hata yeye ni chinja chinja/??