Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,730
Kimya kingi kina mshindo.
We tulia tuli. Atakuja mwenyewe ndipo umwonye kuwa hako kamchezo
akaache kabisa. Alivo mjinga atakuletea mwambie huna haja ya kumsaliti
nduguyo ila hupendi kuona hayo yaliyotukia yakiendelea
Jamani Leo jioni hii nilikua nakula kitu roho inapenda,baada ya kinywaji kukolea kama mjuavyo toilet lazima ikuzoee.
Katika tripu zangu za toilet ambayo iko ndani ya gesti bila kutegemea nimekutana na shemeji yangu mke wa bwana mdogo tumbo moja akitoka bafuni kafunga taulo,alivyoniona kachanganyikiwa na me nikabaki nimeduwaa,sikumwambia chochote nikaondoka,
Sasa naomba ushauri wenu nifanyeje?
Mwambie bwana mdogo...hilo ni kosa la mwisho kabisa mtu kufanya kwenye ndoa.....sijui watu wanafikiria vipi>>>?
Mpigie dogo ujue yupo nae au mwingine anamega tunda! Kama mwingine mchane dogo ukwel, hawana maana hawa madem
........I don't like cheating kabisa....ingekua mimi ningemwambia...Huyo bwana mdogo akiambiwa ataelewa na kuamini..isije akageuziwa kibao...
Binafsi kama ni mimi ningeuchuna tu mpaka aje agundue yey mwenyewe
we una maana? imekuuma sana eee!! utadhan ww hujawah! loh!