Yamempata yapi Suleiman Kova?

Anajiaandaa kwenda kwa askofu Gwajima kwenda kutubu, dhambi ya kuhusika katika kupanga tukio la kumteka Dr, na kumtuma yule mkenya chizi aende kwenye kanisa hilo ili akaigize kuwa ndiye aliyemteka Dr!! Kova anaamua kwenda kwa Kajima kutubu baada ya kugundua ile movie yake na mkenya aliyoiandaa imeshindikana kabisa kuuzika kwa wa-TZ ambao sasa hivi wamejanjaruka na wameapa kuwa hawadanganyiki tena!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Kova uongo haukubaliki hata baada ya ramadhan kupita.umetegea imepita ndo unataka kupiga nyundo ukweli?itakutafuna mpk mwisho

Shauri lake na Nyundo yake, nilitegemea hio jana tamko la polisi angesema yeye, kumbe amekuja Chagoja, nadhani Kova kuna kitu kinaendelea kwake
 
Anajiaandaa kwenda kwa askofu Gwajima kwenda kutubu, dhambi ya kuhusika katika kupanga tukio la kumteka Dr, na kumtuma yule mkenya chizi aende kwenye kanisa hilo ili akaigize kuwa ndiye aliyemteka Dr!! Kova anaamua kwenda kwa Kajima kutubu baada ya kugundua ile movie yake na mkenya aliyoiandaa imeshindikana kabisa kuuzika kwa wa-TZ ambao sasa hivi wamejanjaruka na wameapa kuwa hawadanganyiki tena!!!!!

Askofu hawezi ruhusu jamaa huyo arudi tena, maana ile sinema ilikosa soko
 
Si walisema angeongea leo na press? Da inaonekana hajaongea maana ungekuta imeshatua hapa? Ataongea lipi tumuelewe?

Nimeshangaa wamem-sideline, hio press akaongea mkurungezi Changoja,mie nadhani tusubiri mambo yanakuja, inawezekana naye aliteka?
 
Kapeleka marienge gereji aka bodi akitoka yamekuwa makengeza ili asiangalie sura ya mtu vinapotokea virungu
 
Kupotea kwake ni tangia kumtangaza mkenya ameenda kutubu kwa gwajima na gwajima alipokana hicho kitu tangia hapo jamaa akawa adimu
 
Ulimboka vipi? kishamalizia jengo? maana alivyorudi tu tuliona anaweka mageti mapya na shuguli za ujenzi zilikuwa motomoto. Hajambo?
 
Back
Top Bottom