Yameingiaje humu?

Yameingiaje humu?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,977
Reaction score
37,879
1004024_269279123210259_1886437358_n.jpg



Haya mayai yameingiaje humu?
 
Usipate tabu mkuu
Chupa ilikatwa sehemu ya juu na yakaingizwa, baadae ikaungwa kwa GLUE na ndio unayaona hivyo.
 
yaliwekwa yalivyokuwa madogo, sasa hivi yamekuwa
 
yaliwekwa pindi tu anataga wanayaweka yakiwa lain baada ya muda kidogo yakaukia ndani ya chupa
 
Hiyo ni trick ya kizamaaani, unayalaza kwenye siki siku mbili tatu, yanalainika unayaingiza kwenye chupa unatia maji yanakuwa kama unavyoona.
 
Usipate tabu mkuu
Chupa ilikatwa sehemu ya juu na yakaingizwa, baadae ikaungwa kwa GLUE na ndio unayaona hivyo.
sioni kiashiria cha chupa kukatwa lakn hata mm nawaza hivyo....hata kukatwa chini inawezekana
 
Kuku kaingia kataga kisha katoka

"To know the enemy is half the victory"
 
yameingiaje mimi sijui, ila kuna watu wanauzaga dawa za asili wananishangazaga sana. Kuna mizizi imefungwa furushi kubwa na kutumbukizwa kwenye chupa na kuwekwa maji kama hiyo picha aliyoweka LIKUD. Hawa jamaa wanatembeza dawa zao mitaa ya karikoo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom