Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,469
- 17,975
![]()
Haya mayai yameingiaje humu?
Mdudu ndani ya kokwa kaingiaje?
aisee sijui yameingiaje
photoshop
yaliwekwa yalivyokuwa madogo, sasa hivi yamekuwa
Hiyo ni trick ya kizamaaani, unayalaza kwenye siki siku mbili tatu, yanalainika unayaingiza kwenye chupa unatia maji yanakuwa kama unavyoona.
sioni kiashiria cha chupa kukatwa lakn hata mm nawaza hivyo....hata kukatwa chini inawezekana
mazingaombwe
Ngoja tuwasiliane na Interchick.