Yame wakuta

Mi nahisi upande wa pili ulikuwa nao unawaza hivi
Dada fulani ana karibia kuolewa. Wenzie wanamshawishi akajirushe kwa mara ya mwisho maana baada ya hapo atakua "mfungwa". Kwa hiyo huyo mdada anatoka usiku na mashosti zake. Mida ya usiku sana imefika anaingia kwenye nyumba ambay wanaume huwa wanakuja kununua wasichana/wanawake!!!!

Kwa sense hiyo hakuna wakumlaumu kwa kuwa kila mmoja alikuwa anaaga uhuru wake wa ubachelor.

Yup could be. But the point is wote wana makosa. The way you are making it out to be ni as if mwanamke kaonewa kwenye the above mentioned story. Mnunua madawa ya kulevya na muuza madawa hayo wote wanavunja sheria.
 
Back
Top Bottom