Yaliyotokea bungeni leo ni uwazi wa CCM , Chadema ni wapiga debe tu, dereva ni CCM!

Hivi ile kesi ya kampuni ya Kinana kusafirisha pembe za ndovu imeishia wapi? Maana Kagasheki na Nchimbi walimtetea sana Bungeni.
 
Siku zote elewa ukisikia CCM wameanza kuongea kuhusu mabaya ya wenyewe ujue wameshatonywa kuna bomu linaanzishwa na CHADEMA. Na hata kwenye hili waliambiwa mara tu baada ya chadema kupata vielelezo nao wakaona bora walitoe mapema ili waonekane wasafi. Ila ikumbukwe kwenye historia CHADEMA kitabaki kuwa chama makini kwa kufanya maamuzi magumu ambayo wengine including CCM wanasuasua. Have you thought if CHADEMA were leading the government ingeishia hapo after all the evidence?! We all know hakuna kipindi ambacho serikali ya Tanzania imewahi kusota kama msimu huu na bado wataendelea kusota till they learn there lesson. Thanx to CHADEMA Mp's Watanzania tunatakiwa kumshukuru mungu kwakuwa na viongozi wenye udhubutu mkubwa kutoka CHADEMA.
Lets hope we will manage to change chama tawala mwaka 2015 hata kama sio CHADEMA. ila i believe itakuwa jambo la busara kufanya ivyo as CCM wamejisahau na wanaongoza kana kwamba wao ndio kizazi cha mwisho.
 
ChrisLukozi MaCCM kuwa driving force ni kuuwa watu, kuwachoma moto kuficha ushahidi
Kuwaingizia wanawake chupa sehemu za siri???
Wewe unashabikia ujinga wa Serikali ya CCM??
Kujifukuza kazi, ni kuzima moto wa ukweli, wewe huelewi??
CCM ni janga Tanzania, kaa ukijua hivyo!!
 
Last edited by a moderator:
Ccm ni mbaya kuliko hata shetani.

Ni vigumu sana kwa mwananchi wa kawaida kui-discredict CCM na kuu-credit UPINZANI kwa yaliyotokea bungeni. CCM wanaitegea kwa umakini October 2015. They are playing well a political game!
 
Cjajua unamaanisha nini lakini kuwepo kwa upinzani kumesababisha wabunge hata wa CCM kuwa na umakini kiasi fulani kwa hiyo unapomsifu CCM kumbuka CDM ndio pushing Factor yao kwa hiyo mimi ningeshauri kwa watu wenye mapenzi na upinzani wa kweli kuna umuhimu wa kuisupport ili wafanikiwe zaidi ndipo tutakuwa na serekali imara kwa kuimarisha upinzani pia.

Sent from my BlackBerry 9700
 
Uchizi mwingine tu maana unadhani mtabaki salama? Inaashiria nini?
 
Huna lolote,mburula tu ww.C tunamtaka uyo Mizengwe ndo ang'oke,ukiongeza na Mulogo na Kawambwa wake,wananikera xn.Ww endelea kuganga njaa zako bt naamin CDM ikchukua nchi 2taenjoy wote.
 
Huna lolote,mburula tu ww.C tunamtaka uyo Mizengwe ndo ang'oke,ukiongeza na Mulogo na Kawambwa wake,wananikera xn.Ww endelea kuganga njaa zako bt naamin CDM ikchukua nchi 2taenjoy wote.
Hao makanjanja wako wataishia kutokwa povu majukwaani tu, urais haupatikani kama uchungaji
 
Cjajua unamaanisha nini lakini kuwepo kwa upinzani kumesababisha wabunge hata wa CCM kuwa na umakini kiasi fulani kwa hiyo unapomsifu CCM kumbuka CDM ndio pushing Factor yao kwa hiyo mimi ningeshauri kwa watu wenye mapenzi na upinzani wa kweli kuna umuhimu wa kuisupport ili wafanikiwe zaidi ndipo tutakuwa na serekali imara kwa kuimarisha upinzani pia.

Sent from my BlackBerry 9700

Maana yangu ni kwamba pamoja na mchango mkubwa wa vyama vya upinzani kwa yaliyotokea bungeni, mwananchi wa kawaida ataona ni uamuzi wa raisi (CCM) kuwaachisha kazi mawaziri hivyo kuipa sifa CCM badala ya upinzani. Wananchi waimarishwe kiufahamu zaidi!
 
chris ulichokipost una uhakika nacho au umepost tu ilimradi nawe umemwaga nyuzi zisizona mwelekeo?
 
Ndugu zanguni,

Nimeshangazwa sana kuona hawa viroba wanadai wao ndio wamesababisha mawaziri kujiuzuru na wengine kuvuliwa vyeo. Hawa jamaa wanasahau huu ishu ilianzishwa na Lembeli, kinana na nape ambao ndio CCM yenyewe.

Sasa inakuwaje leo watoka povu mseme nyie ndio mmesababisha?

JITAMBUE!

Rambirambi. Za mwangosi
 
Ayaaa !!!!!,kamzulumu Mjane wa Marehem Mwongosi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom