Yaliyotokea bungeni leo ni uwazi wa CCM , Chadema ni wapiga debe tu, dereva ni CCM!

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,581
2,937
Ndugu zanguni,

Nimeshangazwa sana kuona hawa viroba wanadai wao ndio wamesababisha mawaziri kujiuzuru na wengine kuvuliwa vyeo. Hawa jamaa wanasahau huu ishu ilianzishwa na Lembeli, kinana na nape ambao ndio CCM yenyewe.

Sasa inakuwaje leo watoka povu mseme nyie ndio mmesababisha?

JITAMBUE!
 
Ulilewea rambirambi ya Mwangosi. Laana inakuandama popote ulipo
 
Ndugu zanguni,

Nimeshangazwa sana kuona hawa viroba wanadai wao ndio wamesababisha mawaziri kujiuzuru na wengine kuvuliwa vyeo. Hawa jamaa wanasahau huu ishu ilianzishwa na Lembeli, kinana na nape ambao ndio CCM yenyewe.

Sasa inakuwaje leo watoka povu mseme nyie ndio mmesababisha?

JITAMBUE!

bembeleza njaa yako.na rambirambi utarudisha tu.....
 
Ndugu zanguni,

Nimeshangazwa sana kuona hawa viroba wanadai wao ndio wamesababisha mawaziri kujiuzuru na wengine kuvuliwa vyeo. Hawa jamaa wanasahau huu ishu ilianzishwa na Lembeli, kinana na nape ambao ndio CCM yenyewe.

Sasa inakuwaje leo watoka povu mseme nyie ndio mmesababisha?

JITAMBUE!

Hivi wale mawaziri mizigo wameshajiuzulu? Acha kiherehere wewe chrisina!
 
Ndugu zanguni,

Nimeshangazwa sana kuona hawa viroba wanadai wao ndio wamesababisha mawaziri kujiuzuru na wengine kuvuliwa vyeo. Hawa jamaa wanasahau huu ishu ilianzishwa na Lembeli, kinana na nape ambao ndio CCM yenyewe.

Sasa inakuwaje leo watoka povu mseme nyie ndio mmesababisha?

JITAMBUE!

Cris! Your right, watesema yote lkn umezungumza kitu cha msingi,wanapaswa kukanusha kwa hoja.
 
Chris Lukosi wewe ni mtu mzima.hebu tumia muda wako kuandika yenye hekima na busara.
Ukifanya hivyo utajijengea heshima.wewe ni verfied user humu kuna wengi vijana they need to learn a lot from elders na seniors
 
Mawaziri mizigo Christopha chizi, Ally Malima,Shukuru kawmbwa, Philipo Mulugo, Hawa ghasia,Matayo Davidi,William Mginwa Steven wasira, Abdalah Kigoda..YyANI NI MISUKULE HII
 
wasiofahamu kujitoa ufahamu wa kawaida kila mtu anakuwa nao threat hi ni mfano rahisi wa kuelewa ukisikia mtu amejitoa ufahamu ndo mambo kama haya ya box IQ inakuwa ni below - zero hajitoi hivi
 
Ndugu zanguni,

Nimeshangazwa sana kuona hawa viroba wanadai wao ndio wamesababisha mawaziri kujiuzuru na wengine kuvuliwa vyeo. Hawa jamaa wanasahau huu ishu ilianzishwa na Lembeli, kinana na nape ambao ndio CCM yenyewe.

Sasa inakuwaje leo watoka povu mseme nyie ndio mmesababisha?

JITAMBUE!

Nadhani wewe ni mmoja wa vichaa wasiofuatilia ukweli bali mfuata upepo. Hujui ulisemalo
 
Ndugu zanguni,

Nimeshangazwa sana kuona hawa viroba wanadai wao ndio wamesababisha mawaziri kujiuzuru na wengine kuvuliwa vyeo. Hawa jamaa wanasahau huu ishu ilianzishwa na Lembeli, kinana na nape ambao ndio CCM yenyewe.

Sasa inakuwaje leo watoka povu mseme nyie ndio mmesababisha?

JITAMBUE!

Uko kwenye stage 3 ya senile dementia tabu sana lazima uwe mwongo kwa sababu ubongo huwa hauna kumbukumbu na huwa unatukana ukidhani unasalimia yule daktari aliyekudiagnos tunamwaminia endelea na dozi
 
Ndugu zanguni,

Nimeshangazwa sana kuona hawa viroba wanadai wao ndio wamesababisha mawaziri kujiuzuru na wengine kuvuliwa vyeo. Hawa jamaa wanasahau huu ishu ilianzishwa na Lembeli, kinana na nape ambao ndio CCM yenyewe.

Sasa inakuwaje leo watoka povu mseme nyie ndio mmesababisha?

JITAMBUE!

nilidhani wanaokupondea wanakuonea kumbe kweli hamnazo,na wewe umeona hiyo ni point ya kuleta jf,hivi kinana angethubutu kuwasemea majangali na huku ndo mkubwa wao.kama una hoja tupe majina ya mawaziri mizigo waliotajwa na kinana na huyo nepi wenu
 
inabidi ukapimwe mirembe
Hiyo kamati ilikuwa ni ya CCM?
mapedekezo ya kamati ni ya CCM?
wachangiaji wa leo walikuwa na mrengo wa kichama au kibunge?
Unaijua dharaua ya Naibu Spika kwa hiyo hatoba?
alichukulia ni jambo dogo hadi Kangi na Zitto waliposhindilia msumari
bunge liahirishwe.........acha kupotoka tumeshakuchoka na post zako ambazo hazina mashiko
bakia mchangiaji kama mimi sio lazima kupost.
 
Ndugu zanguni,

Nimeshangazwa sana kuona hawa viroba wanadai wao ndio wamesababisha mawaziri kujiuzuru na wengine kuvuliwa vyeo. Hawa jamaa wanasahau huu ishu ilianzishwa na Lembeli, kinana na nape ambao ndio CCM yenyewe.

Sasa inakuwaje leo watoka povu mseme nyie ndio mmesababisha?

JITAMBUE!

Kichaa wangu angalau dawa zinaanza kusaidia kidogo ila kumbukumbu bado huna jitaidi kumeza dawa. Issue iliyowavua hawa mawaziri ilianzishwa na mtu wa mungu yani mbunge wa Mwibara Kangi Lugola ambaye yupo CCMafisi kimwili lakini kiroho yuko pp. Mzee wa tembo hawezi kuanzisha topic kama hii wakati yeye ni mtuhumiwa no 1. Mzee wa Tembo na Nepi wao wanataka Malima, Kawambwa lkn co vijisenti na mzee wa Richmond. Angalau riz1 anaanza kukuruhusu utumie dawa ila christmas ikiisha unalo. Umeachiwa kwa muda tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom