Yaliyotokea bungeni leo ni uwazi wa CCM , Chadema ni wapiga debe tu, dereva ni CCM!

Ndugu zanguni,

Nimeshangazwa sana kuona hawa viroba wanadai wao ndio wamesababisha mawaziri kujiuzuru na wengine kuvuliwa vyeo. Hawa jamaa wanasahau huu ishu ilianzishwa na Lembeli, kinana na nape ambao ndio CCM yenyewe.

Sasa inakuwaje leo watoka povu mseme nyie ndio mmesababisha?


JITAMBUE!
Kesi ya kinana dhidi ya Msigwa inahusi nin vile?... btw Dereva lazima awe ni mtu mwenye uwezo wa kuona ...CCM mbona vipofu zaidi ya chief mangungo wa msovero? wataweza vipi kuendesha gari kwa usalama?...
 
Chadema hupenda sana kuwapotosha watanzania,suala la kujiuzulu halihusiani na chadema wenyewe ni ccm akina kinana na nape ndio waanzilishi sio watoka povu chadema
 
Waambie tunataka mbowe aachie madaraka yake kwa kuwa hata yeye siyo msafi. chama hapa ongea kidogo.

Mama nimekupata; Mbowe anakata kiuno kwa pesa za walipa kodi hawa watu balaa saana; hivi siku wakiwa na awezo wa kutia mkono hazina patabaki kitu kweli? Na watuondokee na majanaba yao ikulu wataingia wasfi wa kimwili na kiroho; hizo zinaa watafute pa kuzipeleka!
 
Hahaha 2tainjoy wote CDM ikshka dola, eeh mungu nixaidie nwepo..teh teh kwa kuwa hata xaxa wanachadema 2nainjoy, 2napewa hak xawa, ha2baguliwi, democrasia ipo juu kwan hata mwnykt we2 c kng'ang'aniz wa madaraka!!
 
Biblia inasema shetani ni baba wa uongo ila kwa maoni yangu ujanja wote juu ya uongo shetani huwa anapata tuition kutoka ccm, Chris na wenzake hawaoni kuwa tangu bunge la 14 lilipoanza chadema walikuwa wanalalamikia unyanyasaji wa polisi, jeshi la wananchi, askari wanyama pori, magereza na tiss!!! Eti leo waongo kama akina Chriss aka. Kaa mbali na rambirambi, wanadhani wanaweza kuwaaminisha walala hoi wa Tz kuwa hoja zile zote kwa miaka hii yote walikuwa wanazitoa ccm? Huyo kinana ndo anayetuhumiwa kuwa anamaliza tembo wetu mpaka amemfungulia kesi Msigwa leo ndo Mr rambirambi anataka tumuone ni mzalendo!!! Shame on you all!!!
 
Mlizoea kuwafanyia ubaya chadema kwa kutumia vyombo vya ulinzi na usalama leo vimewageuka sasa mnajifanya wazalendo, ati tuwaamini!!! Subirini 2015 ndo mtajua watanzania walivyo kwa sasa!! Tulilalamika watu wa Mtwara juu ya mauaji na utesaji, ubakaji unaofanywa na polisi, wanajeshi na tiss, na kilele chake watu waliamua kuchoma moto ofisi za ccm na viongozi wao, akina Tundu Lissu walielezea mauaji ya kutisha huko nyamongo na kwingineko lakini nini walaaniwa mlitukejeli na kutufungulia kesi, leo mnataka ati tuwaone kuwa ni wazalendo, heri tungeendelea kutawaliwa na wakoloni ambao hawakututenda kama hawa walaaniwa ccm na vijakazi vyao, mnabaka akina mama wetu, mnalazimisha watu wazini na wakwe zao, na wanyama wafu pia tena mbele ya watoto wao!!!!! Mnawaua watu tena huku mnatangazia jamaa zao kuwa mnaenda kuwaua, hakika laana hii ipo juu ya ccm na washabiki wao wote, mtalaaniwa mjini na mtalaaniwa mashambani, mtalaaniwa ofisini kwenu na mtalaaniwa nyumbani kwenu, mtalaaniwa ninyi wenyewe na vitalaaniwa vizazi vyenu, mtapigwa laana toka utosi mpaka wayo wa miguu yenu!!!! Mmewaibia watanzania na kuwatenda jeuri, Mungu amesikia kilio cha wanyonge, anguko, anguko la ccm limewadia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom