Yaliyonikuta nilipofanya mapenzi na Malaya kwa mara ya kwanza 2014

Yaliyonikuta nilipofanya mapenzi na Malaya kwa mara ya kwanza 2014

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
2,235
Reaction score
4,382
Mara ya kwanza kulala na malaya ilikuwa mwaka 2014. Nikiwa nimetoka job nilikutana na mtoto wa baba mdogo (RIP), alikuwa na mshikaji wake wa chuo (Muhaya) sasa wale jamaa mi sikujua plan zao.

Tukaingia mahali mitaa ya Sinza tukaanza kula msosi na kupiga story mpaka ikafika usiku. Kumbe wale jamaa bana walipanga kwenda kwenye danguro la malaya mitaa ya Sinza mapambano.

Mimi sikujua nashangaa tumeenda pale Sinza tukashuka tukawa tunatembea na mguu kuingia kwenye nyumba kama za watu wanaishi ndani ya geti. Sasa kuingia ile nyumba ni kama self contained ila tuna vyumba humo ndani.

Jamaa wakaingia chumba kimoja ikabidi na mimi niingie (kumbe yule muhaya alikuwa anajuana nao). Kuingia pale nikakutana na toto mbili (malaya) limoja limejaziajazia mwingine wa kawaida, vibinti vidogo.

Story story na bia jumlisha na sigara (kampani kweli inaharibu, nikajikuta eti na mimi nakunywa bia kitu sikuwahi kugusa), mara mtoto wa baba mdogo akaanza romance na ile malaya ilojaziajazia, wakaanza kunyanduana pale mbele yetu... daah utulivu ukawa umepotea pale kwenye ile chumba

Mtoto wa baba mdogo alikuwa anaipiga doggie moja matata ile malaya ilojazia, mpaka malaya mwenzake sijui akaona wivu. Mimi mwenyewe na muhaya tukawa tunaona wivu. Jinsi jamaa abavyoikung'uta! Ikabidi nijisogeze kwa yule malaya mwingine.

Daaah kale kadada aisee ni hatari, sijui kalikuwa kachawi! Maana kalinishika shika nikasikia kama mwili wote una vibrate, nilivokuwa mjinga sasa, eti nikasahau mpaka mambo ya condom, ile nataka ku do! kakakimbilia condom, nikasikia, "vaa condom kwanza."

Daah nilikuwa mgeni wa mambo hayo, napambana kuvaa condom nashindwa, kakashika chenyewe, kakanivalisha pale shwaaaah. Kweli ng'ombe wa masikini hazai, ile nasukuma kama mara sita hivi, akanikurupusha, "toa! condom imepasuka!" Hee! Ile kutoa, kweli bana, mashine ipo kama yenyewe na kiCondom kipo huku juu.

Nikaona kamekimbia bafuni hapo pembeni kakanawa sanaaa! Na mimi ikabidi kaninawishe pale. Na moto ukakata palepale. Huku mtoto wa baba mdogo anazidi kuishuhulikia ile malaya ingine. Ikawa kama ugomvi, maana ile malaya inalalamika, "mbona humwagi utaniuwa!" Basi ikakaa pale wakamalizana.

Daah mda wa kuondoka sasa, nashangaa yule malaya niliyelala naye ananishika shati ananiambia pesaa yanguu! Mmh! Nikajisemea kumbe kuna kutoa hela! Na mtoto wa baba mdogo naye kashikwa shati kule, alitoa kama 15,000 yule malaya anagoma, anasema, "yaani umenisugua hivo halafu unipe 15,000 tu?"

Basi muhaya akaingilia pale akaongeza pesa na mimi nilikuwa na 10,000 nikampa yule wangu. Ila wakati tunaondoka, eti vile vimalaya vinasema, "tunamtaka huyu kaka, yaani mimi!" Mtoto wa baba mdogo akasema, "sio mimi?" Hamnaa sio wewe, hatukutaki wewe (nikajisemea hawa wananitaka mimi kwasababu sipeleki moto au, hahahaha!) Basi nikachukua namba ya yule mwingine niliyemla, kwa ahadi kwamba nitamrudia.

Ila sasa kufika home nikawa na mawazo sana, ile condom kupasuka ilinichanganya sana, nikasema hapa nishaukwaaa! Vile nilikuwa kijana (24), nikajiona mimi fala kweli, yaani starehe ya dakika chache imeniponza!

Basi sasa ikawa nawasiliana sana na yule malaya, na lengo langu ni kwenda kumpima UKIMWI. Nikawa naenda job, ila akili haipo sawa kabisa, najiona kabisa eti nimeukwaa UKIMWI.

Basi bana yule dada tukawa tunachat naye sana, nikagundua alikuwa mtu wa Iringa. Akawa ananipa story nyingi sana la lile danguro lao, akaniambia, "pale kuna wenzao wana UKIMWI na wanawajua." Hapo akazidi kuniongezea hofu. Siku moja nikamuambia bana, "mimi nimekuelewa sana ila nataka tufanye mapenzi bila condom!" Kakaniambia, "Akaah! Mimi siwezi kufanya hivo, kama vipi tukapime kwanza!" Nikajisemea, "Yeees!, hapo ndo nilikuwa napataka."

Basi siku moja natoka job mchana tukaenda pale hospitali ya wachina pale Sinza (sijui kama bado ipo), kalikuwa kanaona aibu maana nilitembea nacho kutoka pale barabarani mpaka kwenye ile hospitali.

Basi tukapima palee, majibu yakawa fresh, -ve. Nikashusha pumzi nikajisemea afadhali nimepona. Mda wa kuondoka akadhani kwamba naenda naye kwenye danguro lao. Basi tukachukua bajaji kuelekea Mapambano, ikabidi nitengeneze dharura njiani, kwahiyo alivyofika mapambano akashuka, ikabidi nimpe 5000 pale, mimi nikasepa zangu.

Ikawa baada ya hapo kananisumbua sana, simu haziishi na mameseji kila siku. Mara njoo basi unisalimie, au kama unaogopa kuja njoo geto kwangu Makumbusho. Nikawa namuitukia tu nasema ntakuja, halafu nakula kona. Ila ndo nikafunga nadhiri ya kutokulala naye tena, na yeye ndo akawa malaya wa kwanza na wa mwisho kulala naye.

Mwaka 2022, almanusura niingie tena kwenye mkenge wa kulala na malaya. Nilikuja Moro nikafikia gesti, nikaingia Telegram, kupitapita mule mara nikapata connection ya mdada. Si unajua ukiwa na hamu za mapenzi, nikamuambia njoo! Aisee! mdada amekuja ni ananukia "kijinijini," nikasema hapa leo kazi ipo! Ile kumdodosa dodosa akaniambia ana miaka 30 na ana mtoto.

Duh! nikajisemea "huyu kama ana miaka 30, hii kitumbua imechakazwa mara ngapi?" Hiyo ikawa red flag ya pili baada ya yale maharufu ya mafuta ya kijinijini. Mdada wa watu akavua nguo, ila appetite ikawa ishapotea kabisa. Nikazugazuga pale nikaona isiwe kesi, nikamuambia, "unajua nini embu chukua hii 40,000 tuliyokubaliana halafu nenda tu nitakuita siku nyingine."

Mdada akapokea ile hela ila akawa bado anang'ang'ania nilale naye, amening'ang'ania hataki kuniachia. Nikampiga kiswahili pale kingi nikamuambia nitamuita kesho aje kamili gado, akaelewa. Alivyoondoka nikafunga vioo na nika blok na namba, huo ndo ukawa mwisho wangu na mazoea na malaya mpaka leo.

Ila somo nililojifunza ni kwamba: kampani ni kitu hatari sana. Ile kampani ya mtoto wa baba mdogo na muhaya nilikutana nayo kwa siku moja ila ndani ya masaa 24 nikawa nishakunywa pombe (nilikuwa sinywi), na kumgonga malaya. Na baada ya hili tukio, niliachaga kabisa mambo ya u best friend na kampani.

SIO KWA UMUHIMI ILA NI KWASABABU WATU WANAULIZA.

MTOTO WA BABA MDOGO ALIFARIKI 2024, KWA KUJIUA KWA SABABU ZILIZOTOKANA NA MAMBO YA CHANGAMOTO ZA NDOA. AMEACHA MTOTO MMOJA.
 
Back
Top Bottom