Yaliyonikuta na Basi la Kilimanjaro Express

Hata BM labda ukibahatisha DYE, DZQ, EBL, DXN, DVM hapa utaenjoy sana.

Zenye choo zipo zaidi ya tano

DWL mbili
DTC mbili
DJF pia
Samahani wakuu, hivi Moshe zenu ni kwenye transportation au ni sekta nyingine?

Maana najiuliza mnaweza vipi kukariri hizi registration number za hayo magari tena zaidi ya moja?
 
Dar Arusha panda haya
1. BM coach
2. Abood mpya
3. Marangu coach
4. Extra Luxury coach
5. Tilisho safaris
6. Esther
7. Kidia one

Nje ya hapo usijekulaimu mtu hata ukifika kesho yake
 
Ningependa kujua maoni ya wengine, ila kwa sasa, naona nitasimama kwanza kupanda mabasi ya Kilimanjaro, safari za kubahatisha ni hatari.
Magari sasa hivi kwa route za Dar-Kaskazi, Kaskazini-Dar kuna Kidia One, BM aiseee hutajuta......Kilimanjaro na Dar Express yamebaki majina pekee!!
 
Samahani wakuu, hivi Moshe zenu ni kwenye transportation au ni sekta nyingine?

Maana najiuliza mnaweza vipi kukariri hizi registration number za hayo magari tena zaidi ya moja?
Sector nyingine kabisa (ardhi)

Ila huko kwenye transportation ni hobby tu.
 
Ila naona siku hizi ana gari mpya No. E...

Anyway...Mimi hizo gari nilishaacha kuzipanda.

Unaambiwa gari Luxury...ukifika ndani Ac hakuna...kiti haki'adjust...Shida tupu..
The same to Dar Express kuna baadhi ya magari unaambiwa ni laxury lkn ukipanda hazina tofauti na dalalala za Mbagala
 
Weka namba ya bus
 
Samahani wakuu, hivi Moshe zenu ni kwenye transportation au ni sekta nyingine?

Maana najiuliza mnaweza vipi kukariri hizi registration number za hayo magari tena zaidi ya moja?
Hata ukiwa unasafiri sana lazima ujue number za mabasi unayosafiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…