Yaliyonikuta Maisha Club, Dodoma

Yaliyonikuta Maisha Club, Dodoma

utakuwa mwana UKAWA tu wewe hamna lolote mnalofanya zaidi ya mitungi na mikasi kwa sasa safi sana hao mabaunsa wangekupiga za chemba ukalazwe kabisa
Kiongozi unanikumbusha yale yaliyoandikwa kwenye Injili wakati wanamsakama Petro kabla hajamkana Yesu mara tatu!
 
Hii nchi mtu kupigwa so easy
Mkuu amini hakuna kipigo kilichotokea kwa illegal migran (kwanza angalia jina lenyewe (Mhamiaji haramu)
Hapo Maisha Club hao mabaunsa si kazi yao kupiga, ila ni kuwakaribisha wateja watumie hela zao na kuwalinda ili jina lisichafuke.
Kwa nje huwa kuna Patrol na askari kanzu, kwa yeyote anayeonewa anapeleka malalamiko yake huko na yeyote awe Baunsa au Mjumbe wa Car-T-Bar atachukuliwa hatuwa.
Hata leo km kuna yeyote kapigwa tumboni kwa kugusa mlango au kuibiwa anaruhusiwa kustaki
Akikaa kimya ni kwamba anakubaliana na makosa kuwa ni yake,
(Hao mabaunsa Maisha Club nimeongea nao ni UONGO)
 
Pole sana mkuu. bora ungekaa pale nje kwenye kuku ule ushibe ukalale
 
Hii nchi mtu kupigwa so easy

Ndo maana nikirudi likizo naenda na gang langu zima, sehemu za kueleweka.

Nimeenda hapa Shoppers Plaza juu, what used to be "The Place" back in the days, nimesahau siku hizi panaitwaje, dogo ananionyesha elevator ananiambia kuna watoto walipigana risasi.

Kuingia ndani mabaunsa wanafanya a pat down, pat down yenyewe light kichizi kama mtu una ki handgun in the small of your back unapita nayo.

Nikaona Dar inakuwa kama Kampala siku hizi.
 
Sikatai huenda ukawa ndo mtizamo wakoLakini kwangu mimi siku ya kwanza nilipofika mahari hapa ilinibidi nifikiche macho kwa mshangao kwamba hivi ni kweli dunia imefika hapa???hapo nilikuwa kwenye ground flow nikaona haitoshi ngoja nilipe tsh 30,000/= nipande juu ambako ndo wanakuita v.i.pAise ile kuingia tu eeebhanaaa eeeeenikakuta totoz za kike za kumwaga then kwenye stage kuna wadada wawili wana cheza muziki wakiwa naked!!!!Nilibaki kukodoa mimacho huku moyoni nikiteta kwamba hakika yale yaliyonenwa na manabii sasa yametimiakiufupi tu itoshe kusema kwamba SODOMA NA GOMORA inakuja kwa kasi ya hatari sana Sina uzoefu na kumbi zingine za starehe zaidi ya hapo nilipowahi kuingia na nikaona mambo kwa macho yangu mwenyewe
ni kweli mkuu!mwisho wa dunia haupo mbali sana..
 
MWANAKA unachekesha sana

Hivi unaweza kwenda uwanja wa mpira kisha uashangae wachezaji wanacheza mpira?

Kama hupendi hizo starehe ulienda kufanya nini maisha club? hakuna suala la sodoma na gomora hayo ni mawazo yako tu...hapo bold naona mwenyewe unasifia kianina. Ila siku nyingine kama hupendi kuona mambo hayo usiingie club za usiku. ndo maana watoto hawaruhusiwi mle

Kaka
nipo kwenye research kali sana ili nikirudi madhabahuni niwe na ushahidi wa kutosha kwa waumini wenzangu
 
Mkuu amini hakuna kipigo kilichotokea kwa illegal migran (kwanza angalia jina lenyewe (Mhamiaji haramu)
Hapo Maisha Club hao mabaunsa si kazi yao kupiga, ila ni kuwakaribisha wateja watumie hela zao na kuwalinda ili jina lisichafuke.
Kwa nje huwa kuna Patrol na askari kanzu, kwa yeyote anayeonewa anapeleka malalamiko yake huko na yeyote awe Baunsa au Mjumbe wa Car-T-Bar atachukuliwa hatuwa.
Hata leo km kuna yeyote kapigwa tumboni kwa kugusa mlango au kuibiwa anaruhusiwa kustaki
Akikaa kimya ni kwamba anakubaliana na makosa kuwa ni yake,
(Hao mabaunsa Maisha Club nimeongea nao ni UONGO)

sawa basi kama mimi ni muongo sikupigwa mwambie huyo bosi wako aweke alama za maelekezo ndani ila next time ntakuja na mguu wangu wa kuku maana naona umeshaanza kutangaza biashara be professional
 
sawa basi kama mimi ni muongo sikupigwa mwambie huyo bosi wako aweke alama za maelekezo ndani ila next time ntakuja na mguu wangu wa kuku maana naona umeshaanza kutangaza biashara be professional
sawa Mkuu Mjumbe wa Bunge la Car-T-Bar hata leo wakaribishwa ila miguu ya kuku huingii nayo wala H/Grenade
kuku na nyama choma vipo hao nje mtaa wa Mtendeni

https://www.google.co.tz/search?q=M...%2F08%2Fnew-maisha-club-dodoma.html;1600;1200
MAISHA CLUB.JPG
 
Ndo maana nikirudi likizo naenda na gang langu zima, sehemu za kueleweka.

Nimeenda hapa Shoppers Plaza juu, what used to be "The Place" back in the days, nimesahau siku hizi panaitwaje, dogo ananionyesha elevator ananiambia kuna watoto walipigana risasi.

Kuingia ndani mabaunsa wanafanya a pat down, pat down yenyewe light kichizi kama mtu una ki handgun in the small of your back unapita nayo.

Nikaona Dar inakuwa kama Kampala siku hizi.

Frisking za kitoto wanafanya na wakikuta plinker unaambiwa acha mag...basi kama nikiwa ugenini huko mashenzini disco theque huwa naweka grains kadhaa kwa sneaker then navaa so wakisema toa mag natoa tu nazama loo natia one kwa chamber nalizima zangu!!!!!

Watoto wa mjini wa siku hizi hawana maana mkuu!!!!!
Bora iwe mbwai tu kama vipi!!!!
Imagine mtu yuko zake boogie anatandikwa ngumi tena tumboni,ukipasuka spleen kibongo ndo ushadanji hiyo!!!!!
 
clouds ni mdau humu naamini ujumbe umemfikia
 
Pale kuna baunsa mmoja rafiki yangu nimesoma nae bonge ya mtu ntamuuliza kama ni yeye aliekutia migumi hiyo
 
Khaah! Mambo yepi tn ulitak ukachukue nje ukahairisha?? Mm naon ukamtafute hyo baunsa alokupa kichapo akili ikakaa sawa mana huenda ungenda kuzoa magonjwa hko nje.alikata stem na ngumi..khaaaah!
 
Aisee na wewe utapoteaje maisha club?february nilikuwa Dodoma ilikuwa raha tu,paukweli kimtindo ila pale hupotei bhana labda ulilewa sana,halafu uwe unaenda na kampani hata ukiwa ugenini tafuta hata washikaji wawili au tatu hivi.
 
nikakuta totoz za kike za kumwaga then kwenye stage kuna wadada wawili wana cheza muziki wakiwa naked!!!!
Nilibaki kukodoa mimacho huku moyoni nikiteta kwamba hakika yale yaliyonenwa na manabii sasa yametimia
kiufupi tu itoshe kusema kwamba SODOMA NA GOMORA inakuja kwa kasi ya hatari sana

We unashangaa kuona wadada wawili kuwa uchi?kuna mitaa mkifika lazima muwe uchi wote maana waliopo ndani wote wapo uchi unaingia bila nguo ili msichekane,kiingilio la ukweli,ukishangia unakuwa umeshalipa mpaka huduma unazopewa na hao madada kwa hiyo utakula mzigo live mpaka utachoka mbali na mziki
 
Ndo maana nikirudi likizo naenda na gang langu zima, sehemu za kueleweka.

Nimeenda hapa Shoppers Plaza juu, what used to be "The Place" back in the days, nimesahau siku hizi panaitwaje, dogo ananionyesha elevator ananiambia kuna watoto walipigana risasi.

Kuingia ndani mabaunsa wanafanya a pat down, pat down yenyewe light kichizi kama mtu una ki handgun in the small of your back unapita nayo.

Nikaona Dar inakuwa kama Kampala siku hizi.

Huyo jamaa kakutana na baunsa,kwahiyo hapo hata ukiwa na gang haisaidii maana wale mabaunsa kama Maisha club wapo wengi sana.Kama unaenda na gang lako labda kujilinda na gang zingine.
 
sawa Mkuu Mjumbe wa Bunge la Car-T-Bar hata leo wakaribishwa ila miguu ya kuku huingii nayo wala H/Grenade
kuku na nyama choma vipo hao nje mtaa wa Mtendeni

https://www.google.co.tz/search?q=M...%2F08%2Fnew-maisha-club-dodoma.html;1600;1200
View attachment 153658

Ila huyu jamaa sidhani kama amepigwa na baunsa,mbona wale mabaunsa wako poa sana,sijui about maisha club ya dar mabaunsa wake wapoje ila wale wa dodoma wako poa sana na wanajielewa,nina mashaka kapigwa na mtu mwingine kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom