Yaliyonikuta leo

hapo afande angekutia virungu na kukutupa selo kwa kosa la uzembe na uzururaji maana umemkosesha ulaji
hakuwa na mawazo hayo kabisa yaani alipigwa na butwaa tu!
Nalog off
 

much respect aisee
 
Una bahati sana washawasha ningekua afande leo ungelala rumande kwa jibu lako hilo!!
 
Tunadanganyana dalala inayosanya manzese-kariakoo isipokuwa wakaz wa wa manzese wanatumia daladala ztokazo mwenge,kimara,mbezi,mabibo na ubungo kuelekea kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…