Yaliyonikuta kwenye Voda shop Bukoba

Yaliyonikuta kwenye Voda shop Bukoba

konrad

Member
Joined
Jun 10, 2015
Posts
85
Reaction score
13
Jamani Leo nimeenda vodashop Bukoba mjini nilichokiona siyo huduma kwa wateja nilienda kurenew laini wanakwambia ukapige photocopy kitambulisho kwenye stationary ya voda shop iliyokaribu na hiyo voda shop daaaaah yaani wanakutoza hela mara mbili
 
Back
Top Bottom