Yaliyonikuta jana jioni

Yaliyonikuta jana jioni

Hahahaa. Aisee! Ni hatareeee!!!

Sema kuna wakati mwingine shetani huwa tunalisingizia sema tu lilivyo lijinga haliwezi kukanusha linajichukkulia tu maujiko.

Unajua maandiko yanasena katika kitabu cha Yakobo "Mtu hujaribiwa na TAMAA yake mwenyewe, nayo tamaa ikiishachukua mimba huzaa dhambi, nayo dhambi ikishakomaa huzaa mauti"

Kwa hiyo lishetani lingekua JF lazima lingeshatoa karipio kali lisihusishwe kwenye hili tukio tatanishi la kumtoa mtu ibadani akangonoke.
Najaribu kuwaza mchungaji wa watu anahubiriii kwa ustadi unamsikiliza kwa makini, ghafla ibilisi anaingilia kati anakuletea tunda umege, kitendo bila hofu huyoooo..... Baadaye mtu analeta simulizi with cofidence, na anawaathiri wengine kwa kuwapandisha hisia kali za kungonoka.....Kweli kazi ipo kweye hizi ndoa zetu.
 
“If a man commits adultery with the wife of his neighbor, both the adulterer and the adulteress shall surely be put to death"
- Leviticus 20:10

"Flee fornication. Every sin that a man does is without the body; but he that commits fornication sins against his own body"
- 1 Corinthians 6:18

Naona umeamua kumchania mistari.
 
Kila mla cha mwenzie na chake huliwa, poleni sana, ukimega mke wa mwenzio jua na wako anamegwa!

not necesary, unaweza ukamega mke wa mwenzio na wako asimegwe na vile vile unaweza usimege (usichepuke) na still ukamegewa wako.
 
Mmmmhhh namna hii hili gonjwa halitakaa liishe . Yaani umeenda kwenye semina na huyo dada ukamkuta seminani na mahubiriiii yooooote bado mkaenda kufanya yenu . Sasa nimeamini mikutano haisaidii watu kubadilika kama ingekua inasaidia basi dar tungeishi kama mji mpya wa mbinguni.
 
Hilo nalo neno Mkuu "Kazi tunayo",
akumbuke wapi kwenye mazingira ya kila kitu fasta?
 
Hahahaa. Aisee! Ni hatareeee!!!

Sema kuna wakati mwingine shetani huwa tunalisingizia sema tu lilivyo lijinga haliwezi kukanusha linajichukkulia tu maujiko.

Unajua maandiko yanasena katika kitabu cha Yakobo "Mtu hujaribiwa na TAMAA yake mwenyewe, nayo tamaa ikiishachukua mimba huzaa dhambi, nayo dhambi ikishakomaa huzaa mauti"

Kwa hiyo lishetani lingekua JF lazima lingeshatoa karipio kali lisihusishwe kwenye hili tukio tatanishi la kumtoa mtu ibadani akangonoke.

Kweli kabisa, na siku hizi kuna kamsemo tunasemaga YAANI NI SHETANI TU, Hapo jiulize huye shetan alikufunga kamba? Kweli ni kwa neema tu
 
Hivi ndo vitu vinanifanya nisioe. Eti kwenye neno la Mungu, mnaenda kuzini ptuuuu. Ujinga mtupu. Kukumbushia enzi my foot.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Sasa kapimeni UKIMWI.

Hayo kwa nyinyi wala hatuoni ajabu ikiwa wachungaji wanabandua mpaka kondoo wachanga sasa nyinyi kondoo mliokubuhu tutegemee ni zaidi ya kuambukizana magonjwa ya zinaa?

Umesahau na walimu wa madrasa nao ni wabakaji nambari wani. Faiza Foxy!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mungu aniepushe kabisa na dhambi ya kutembea na mke wa mtu...
 
Back
Top Bottom