Yaliyomsibu kaka yangu

Hili doa si rahis likafutika ndani ya moyo wa huyo dada!
 
Dunia kweli tuko mwishoni. Hawapo wale binadamu wa zamani,wenye kujaliana. Siku hizi watu wamejaa tamaa,likianguka roli la mafuta wanatamani wammalizie kabisa dereva. Binadamu ni wanyama siku hizi,kuua mtu haoni shida. Sasa kama umegundulika ni muathirika kwa nini kwa makusudi unatamani kuua wengine. Huyo dada hakuna tofauti na wasiojulikana. Duuuh...! Kakaako ana bahati kweli kweli. Amjue sana MUNGU. Japo sisi binadamu sijui ni nini kinaifanya mioyo yetu iwe migumu?.
 
Mkaka pole.

It will take him long mpaka kufikiria kuoa tena aisee.
 
Ni heri huyo anayebugia Art kuliko asiyetumia kabisa,
 
Unaanzaje kupiga mzigo bila kupima?
Ni wanawake wachache Sana huwa wanajiwezesha na kufikia level ya kuwa independent.
Wengi ukiwakuta ujue wamefikishwa na Hawa wazee wa mjini ambao wengi wana grid ya taifa.
Usiingie kichwa kichwa kwa hawa wadada wanajifanya wako independent.!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…