K Kitoto Akisa Member Joined Apr 23, 2009 Posts 53 Reaction score 5 May 12, 2009 #1 Mambo! Mimi i mwanachama mpyaaaaaaaaa katika kndi tafadhali nikaribisheni ili nami niweze chagia na kuibua changamoto mpya na kujenga jamii yetu. Wazeyaaaa yaliyomo yamo?
Mambo! Mimi i mwanachama mpyaaaaaaaaa katika kndi tafadhali nikaribisheni ili nami niweze chagia na kuibua changamoto mpya na kujenga jamii yetu. Wazeyaaaa yaliyomo yamo?
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,079 Reaction score 165,851 May 12, 2009 #2 Karibu jamvini. Hapa hamna cha mgeni siku ya kwanza wala ya kumi, twakukaribisha kwa mikono miwili na kuanzia sasa umeshakuwa mwenyeji.
Karibu jamvini. Hapa hamna cha mgeni siku ya kwanza wala ya kumi, twakukaribisha kwa mikono miwili na kuanzia sasa umeshakuwa mwenyeji.
Msongoru JF-Expert Member Joined Apr 16, 2008 Posts 306 Reaction score 24 May 12, 2009 #3 Kitoto! haya bana dugu, kaa ufuate sharia za huku ufaidike.
M Msindima JF-Expert Member Joined Mar 30, 2009 Posts 1,018 Reaction score 36 May 12, 2009 #4 unakaribishwa sana