Yaliyojiri wiki ya uzinduzi wa kuboresha usalama wa raia viwanja vya Biafra, Rais Magufuli azungumza

mtaendelea kujifunza mpaka mkome, awamu hii hakuna kubembelezana.
Unanisikitisha sana. Hoja ni tofauti sana wewe umebakia ushabiki tuu. Kwa mawazo yako, Huyo Meya aliogopa kuja pale, ni kweli anapenda ujambazi? Tutajifunza nini kwa kauli zako na washabiki wenzako. Tuelimishe basi na kama huna hoja KAA KIMYA- sijui JF imekuwaje mfu namna hii, inavumilia watu kama wewe!
 
Aysee umenikumbusha,eti unaibiwa site mirror unaikuta gerezan mtaa,halafu bla aibu wanakuuzia
 
Back
Top Bottom