Yaliyojiri Uwanja wa Kambarage: Mkutano wa Dr. Magufuli Jimbo la Shinyanga Mjini - 26 Septemba, 2015

Sitta anasema mradi wa maji kutoka ziwa Victoria ulitekelezwa na Mkapa na si Lowasa pekee...pia Mwandosya alihusika.

Lowassa anasema CCM haijafaya kitu hata maji iliyotwambia kahusika yeye mwenyewe akiwa CCM na kujisifia eti leo kaenda CDM anasema hamna kitu
 
Operation delete ukawa; kanda ya ziwa.

Nyumbani kwa mgeja ............... Mpiga dili .

Matukio katika Picha...

View attachment 291381
Wanakijiji wa Burige wamejitokeza barabarani alfajiri kuzungumza na Dkt. Magufuli, akielekea Shinyanga vijijini.

Nilimkataa Lowassa akiwa ndani ya CCM, ninaendelea kumkataa akiwa nje ya CCM.

Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania.

I can't let our beautiful country go to the dogs

Genge la ubinafsi na ufisadi limeondoka na kuhamia CDM- Sitta

toka hapa mabadiliko ngani? na hiyo ilani yenu ya kumutoa jela babusea?
Nna uhakika hata hapo mlipo umeme umekatwa, na bado mnaipigia domo ccm!!! Embu fikiria ewe mtanzania!!
 

Attachments

  • 1443265116037.jpg
    1443265116037.jpg
    58.6 KB · Views: 505
  • 1443265219289.jpg
    1443265219289.jpg
    54.8 KB · Views: 503
  • 1443265306211.jpg
    1443265306211.jpg
    36.9 KB · Views: 488
  • 1443265417621.jpg
    1443265417621.jpg
    54 KB · Views: 467
kanda za maziwa makuu ;wanatengeneza 68%. ya wapiga kura mwaka huu
 
matukio katika picha...

View attachment 291381
wanakijiji wa burige wamejitokeza barabarani alfajiri kuzungumza na dkt. Magufuli, akielekea shinyanga vijijini.

usiku usiku ; watu wanakuja kusikiliza raisi mtalajiwa .

Njia nyeupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

sijutii kura yangu . Hapakazi tu
 
binafsi mh Magufuli hapa umekosea kutaja jina la mfanyabiara wa shinyanga bwana JASPA ni aibu kubwa kuwa mchana anakuunga mkono na usiku yupo ukawa. this is not fair.

Magufuli najua unaingia mitandaoni hapo umeonyesha hujiamini km unavodai kwanini unawatia Mashaka wafuasi wako.
sio maramoja umesema katika mikutano tofauti msijekunisaliti.

this is vey damaging plz take this advice, vitu vingine Fanya indoor
 
Magufuli hafai kuwa Rais.... Watanzania tufunguke macho..... CCM ni ile ile, hakuna kipya kutoka kwa CCM
 
assadsyria3

Ulitakaje kwa mfano? Maana hapo ndipo anaonesha ni mtu wa caliber gani, hapo ni mgombea tu akiwa kiranja?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom