Yaliyojiri uwanja wa Jamhuri Dodoma: Rais Kikwete kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya

Sema mkuu mana hapo ndio hapo hapo na debe la kupiga kura ya ndio.

Nani ataondoka jukwaa kuu wakati mkuu anaongea????
 
Kama vipi tutakuongezea ka muda kidogo ili tumalizane na katiba kabisaaa.

Watanzania mnasemaje hapo??
 
.... Utafanyaje Sasa Mkuu, Utajiripua?

Bahati nzuri sana tunajuwana karibu wa tz kwaiyo atakaye kuwa msimamizi wa kituo lazima apoteze maisha kama kura zikiibiwa coz lazima nibandike bango la onyo kuwa kuchakachuwa ni kusogelea kifo na lazima tupige kura za wazi na siri kama walivyo piga wao nitaomba kituo watu wengi tupige za wazi ole wao wapo ndani ya 18
 
Habari Mpasuko
Rais Wa Jamuhuri
Kavunja Sheria Ya Kufanya Mikutano Ambayo Mikutano Yote Lazima Iishe Saa 12 Na Sasa Ni Saa 1;30 Alafu Anasema Mengine Atayasema Baadaye.
 
Najiuliza mbona sherehe imekuwa kubwa sana wakati katiba yenyewe bado,kinacho kabidhiwa ni katiba iliyo pendekezwa.......kwa maoni yangu angekabithiwa ikulu tu,ikipatikana katiba baada ya kura ya maoni....ndio tuone mbwembwe.....What if ikikataliwa kwenye kura za maoni kwa asilimia 95% je???
 
Back
Top Bottom