Yaliyojiri uwanja wa Jamhuri Dodoma: Rais Kikwete kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya

Mbona mmepotea? au ndio wote mpo kwenye tv mnaangalia yanayojili Dodoma?. Kususia kwenda Dodoma na hatususii kuangalia yanayojili kwa kutumia tebee. Hivyo msg sent and received via tv au sio masela? Naona mnasikia hadithi ya alfulela ulela au sio? mmehama humu na mnasikia mambos ili baadae muweze kutembea kwenye maneno yao au sio? Labuda tutapanga kujibu mapigo ya kuwa hatujaingia kwenye bottle au sio?. Wote nyie including UKAWA mnaendaga kwa mipasho tuu ambayo baadae inawatafuna wenyewe (CCM na UKAWA).

Wanawake fifite kwa fifite. Laisi ajae ni vema atoke kwa wanawake au sio? Nadhani ni A........ahaaa ni siri siriiii au sio CHEUPE WA KIMASAI?

Naona hadi sasa humu hamuna watu wa kuchat, yaani toka usubui ni pg 2 tu?. Najua mtarudi baadae.

Katiba uoyieeeeeeeeeee au vipi wenetu? au tutajipangaje tena? Maandamano ni lini? au sio?. Naogopa falasi wa polisi watatung'ata ni vema tujitayarishe kukimbia na kucheka wajameni. Mie sio wa CCM na sio wa UKAWA. Nipo kama mimi tu. Msinihukumu. Sipendi chuki zenu wote. Yaani hampendani wote. Poleni sana. Chuki itawauwa nyie wajameni.
 
Hii imekaaje JK kupokea katiba ya Sitta usiku wa Mola? Yupo live tv na redio.

Walikosa watu walikuwa wanawakusanya kwa magari alitakiwa kuwahi ila ingekuwa shida coz walikuwepo wanafunzi tu aibu ya mwaka
 
huwezi kukuta padre au askofu wa kanisa katoliki ktk upumbafu wa leo
wanajitambua sana wale
watakuwepo wachungaji na maaskofu njaa kali tu!

kwani wanakosaga wasaliti? ikiwa Yuda miongoni mwa wateuliwa kwa Tamaa ya pesa aliamua kumsaliti Yesu mwenyewe. iweje Leo watakuwepo tu Wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom