Yaliyojiri Uwanja wa Amani, katika Kilele cha Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar 12 Jan, 2016

wamekosea Zanzibar ni brigedi ya nyuki huyo ni kamanda wa brigedi ya nyuki.siyo mkuu wa majeshi,mfano Songea kuna brigedi ya tembo yenye mikoa ya Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Rukwa na Katavi.
Nyamaza kimya kama hujui unachoongea. Brigedi ya nyuki ni sehemu tu ya jeshi la JWTZ huko Zanzibar na kambi yake inaitwa KwaBavuai Migombani
 
Nimeona vikosi vya jeshi vikitoa salamu za Utii kwa Rais wa Zanzibar hii imekaaje?

Halafu amri za kigwaride zinatolewa kwa Lugha tofauti na Kiswahili nadhani wanatumia Kijerumani, hii nayo imekaaje?, Je JWTZ ina itifaki tofauti Zanzibar na Tanganyika?
 
Huu muungano ni wa kinafiki tunaambiwa rais wa Jamhuri ndiye mwenye mamlaka makubwa kwa Tanganyika na Zanzibar na tumeshuhudia akifuta sherehe za uhuru Tanganyika ili usafi ufanywe lakn zanzibar wanateketeza pesa kwa sherehe za Mapinduzi.
 
Naomba turejee katiba ya Zanzibar, imeweka wazi kwamba Zanzibar ni "NCHI" kwa hiyo yanayofanyika huko, Rais wa Tanganyika hahusiki. Ndio maana Rais wa Zanzibar anakula mizinga 21 akiwa nchini kwake. Na kama Rais wa Tanganyika akienda huko protokali zinasema, Rais wa Zanzibar ndio boss na atakuwa wa mwisho kuingia uwanjani na wa kwanza kutoka. Upo hapo?
 
Huu muungano magufuli amewahi kusema hata akiwa nje ya ccm, binafsi anauunga mkono...
 
Wazanzibar wamemjua mnafiki karume anavyotaka kuwarudisha waarabu wenzie watawale zanzibar.
Kulikuwa na makundi mawili walianza kumsahngilia then likaibuka kundi lililo anza kuzomea, lakini kwa vile wewe hupendi kuwa mkweli sababu ya u ccm ulio kutawala hukuliona hilo tuwe wakweli hata kwa tusiyo yapenda.maana ukweli ni ukweli daima
 
Mie nilidhani wamemshgilia... Kumbe ilikuwa zomea.
Yameibuka makundi mawili lilianza kundi lililo shangilia then likaibuka kundi na kuanza kuzomea nimesikia kwa makini sana maana nlijua lazima kuna watu wakitajwa hiyo hali itatokea.
 
Back
Top Bottom