Luno G
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 2,550
- 1,852
loh nimechekajeHawa askari wa zamani balaaa
loh nimechekajeHawa askari wa zamani balaaa
nimepotea njia mapinduzi ya zanzibar hayanihusu.
Mkuu BalantandaSasa kama hayakuhusu si ungekaa kimya?...
Kulikuwa na haja ya wewe kuchangia thread hii?
akamfikishie taarifa rafikiye PKNaona M7 anaangalia kwa makini Zana za Kivita.
Nilihisi kuna moja limezidi. Wageni kutoka nje ya Tanzania!ndugu members mh kikwete yuko kwenye sherehe tajwa hapo juu na kwa kustahajabu sana wageni wote (marais)wamepewa nafasi ya kuwasalimia wananchi lkn jk kapotezewa. je ndo kanuni zilivyo au ndo katiba ya zanzibar inavyosema. pls majibu
Nimewaona nimichekampaka basi!!!Hawa askari wa zamani balaaa