Yaliyojiri Mwitongo, kutangaza kuwania urais kwa Makongoro Nyerere

Mimi hii statement ya Makongoro nimeielewa tofauti na hiko wazi kabisa kuwa nani yuko responsible na tuliyoshuhudia tangu 2005 mpaka 2015.

"Kikwete ni mpole, na hana tatizo kabisa, labda matatizo yale ya kibinadamu ambayo kila binadamu ana mapungufu yake, lakini amezungukwa na kundi la vibaka ambao ni hatari kwa nchi,

Hao ni marafiki zake na hawezi kuwakemea, hawa huwezi kuwakabidhi gari la serikali likabaki salama, ni vibaka hatari, nao teo wanautaka urais,"
 
Uyo aliyemkana baba yake na kuhamia upinzani huku akimtukana jukwaani mnywa gongo huyo apewe nchi? Eboo hata nyerere angekuweko asingekubali kwa ujumla ccm hakuna aliye salama na maendeleo yako upinzani sio ccm swaga ni ukawa tuuuu


huyu anafaa, siyo yule wa richmond
 
Hatutaki tena mwanajeshi.
Kwa vile tumeshatawaliwa na waalimu wawili, mwanajeshi mmoja na mwandishi wa magazeti mmoja; je unamtaka nani? Afisa wa Kodi ya Mapato, Polisi, Hakimu, Mwanafunzi, Mkulima au Mfanya Biashara? Ukitaka mwanafunzi, basi kuna kijana wangu anataka kuogombea hapa
 
Kwa vile tumeshatawaliwa na waalimu wawili, mwanajeshi mmoja na mwandishi wa magazeti mmoja; je unamtaka nani? Afisa wa Kodi ya Mapato, Polisi, Hakimu, Mwanafunzi, Mkulima au Mfanya Biashara? Ukitaka mwanafunzi, basi kuna kijana wangu anataka kuogombea hapa

umesahau kwenye option hapo ongeza wakata viuno wa fine and performing art mmoja keshajitangazia nia
 
Ningepda kujua kuhusu familia yake Je ana mke na watoto? Je anaishi wapi? (namaana bado anaishi kwa mama au anajitegemea?) Maana tusijechagua rais ambaye bado ni "mtoto wa mama" Yericko Nyerere


yes ana mke na watoto mkewe ni jaji mfawidhi huko moshi ana wivu hatareee aisha makongoro or aisha nyerere alikuwa jaji arusha muda mrefu naona sasa kahamishiwa moshi.
 
Nimejaribu kusoma kile tulicholetewa na Yericko kutoka Mwitongo, nimejaribu kutafakari mwisho nika conclude kuwa Makongoro ni Yohana mbatizaji tu aliyekuja kumsafishia njia Mwana wa Mtu.Tusubiri time will tell.Haya ni mawazo yangu binafsi!!!
UKAWA wakimsimamisha Vincent Nyerere kupambana na Makongoro Nyerere utakuwa na hoja gani tena?
 
Mimi naona TANZANIA iongozwe na viongozi waliotoka familia za kichifu kama sio Makongoro Nyerere basi achukue Edward Lowassa naona wanaupeo wa uongozi mzuri.
 
Inaonekana hakuandaliwa vizuri kuzungumza. Upo uwezekano anayo kete nzuri tu ya kuweza kukubalika kwa kuwa wengi waliotangaza nia ni wale wale wanaoendelea kula na kufaidi kwa mfumo uliopo. Inabidi ujipange ili uweze kunadaa mazingira mazuri ya kuwa na hotuba zenye mashiko kwa kuzingatia mtazania wa leo na mahitaji yake. Hatuwezi kuendeshwa na hotuba kuungwa mkono na watu kama kina mseveni ambao hawana uadilifu wa kidemokrasia katika nchi zao,.
 
Kiukweli jamaa yetu humu ni mtoto wa Mzee wetu yule out of wedlock, ila kufuatia process ya kumtangaza 'Mwenye Heri', hili likijulikana litapoteza kabisa chance ya Mzee wetu kuwa Mtakatifu, ila ukiitafuta ile posti ya kijana wetu kujitambulisha humu, alijitambulisha kama mwana halisi wa Mzee!. Naomba usitaje jina ili maadui wa Utakatifu wake wasije kuliripoti tukio hili kwenye kamati!. Na ni kwa nasaba hiyo ndio maana leo yuko Butiama!. Angekuwa ni ngumu sana kwa ofisa habari mkuu wa UKAWA kwenda kuripoti tukio la CCM!.

Pasco
Ritz FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Makongoro .... A game changer huwezi kumpuuza Mimi kwa saasa naona ni tukubali ..MTANDAO uendeelee kuongoza Nchi na Mafuriko ha Edward Lowassa
Au surprise candidate ......CHARLES MAKONGORO NYERERE na ccm mpya
 
Uyo aliyemkana baba yake na kuhamia upinzani huku akimtukana jukwaani mnywa gongo huyo apewe nchi? Eboo hata nyerere angekuweko asingekubali kwa ujumla ccm hakuna aliye salama na maendeleo yako upinzani sio ccm swaga ni ukawa tuuuu

Huyo sababu anayotoa kuhamia upinzani ni kuwa hakutaka aonekane Kama kabwebwa na baba yake ..akitaka kusimama mwenyewe .,,,
Maana ccm wangeweza tu kupitisha Jina lake kwa kuwa yeye toto wa Mwalimu
 
Ccm imekosa watu kabisa kwa kuwa watatangaza nia karibu wa ccm 100 ivi labda hapo atapatikana mmoja.
 
yeriko nyerere anaukweli Fulani hivi.kuna jambo analifahamu linakuja tokea.njoo yerko utupe udambwidambwi
 
Dah huyu nae anawashambulia wenzake ndani ya CCM? Kazi ipo, sielewi kwanini wagombea wanaamini sana kwenye mkakati huu?
 
Japo makongoro sio fisadi na mashaka na uwezo wake anachukia rushwa lakin hawez kuzuia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom