Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 741
- 479
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Tuzo ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa Mwakilishi wa Familia ya Mwalimu Makongoro Nyerere wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023.