YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Mbona watu wanalazimishwa kupiga kelele?? Kila saa unaskia "piga keleleeeee" sasa hii nayo ni sera au? Naona hakuna tena Kidumu chama cha Mapinduzi.....ni piga keleleeeee! MANI


Hahahahahah yaani mwitikio wa wananchi ni sifuri zinasikika kelele za Nape tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Katibu mwenezi wa ccm amesikika akiirudia kauli maarufu kwa kusema 'hatupeleki makapi ikulu'
 
Jamani nikiangalia idadi ya umati wa watu unao onekana kupitia ITV ni wachache ukilinganisha na idadi ya umati wa watu ninao uona TBC. Correct me if am wrong
 
Akili ya MTU inapimwa kwa kuheshimu utaishi wake sio kwa kubebwa kwenye Lori na kupewa fulana, kofia na buku tano ya kurudia kwake
 
Back
Top Bottom