Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,257
- 12,928
Wana akili wanajitambua. Huwezi kupeleka mwizi, jambazi, fisadi Lowasa Ikulu.SIONI Sababu kwa nini wanamuziki waliomuagana Mh. Jakaya majuzi kuchnganyikiwa. Swala lao lilikuwa rahisi sana.
INAWAPASA kuweka usawa kwa wanasiasa na kuwapa huduma kwa usawa, Kama kuna upendeleo mnaufanya kwa aliefanya
makubwa kwenu, Kwa mtu yyt mwenye ufahamu mkubwa, kwa mlichofanyiwa na Dokta Kikwete ni sehemu tu ya maisha yenu
katika sector ya muziki. Angeweza na watafanya marais na viongozi wengine wenye mapenzi na muziki,isitoshe washabiki
ni sisi wananchi sio hao viongozi nashangaa sana kusikia hayo
@. Diamond Platinum
2. Ally Kiba
3. Yamoto band
4.Ommy Dimpoz
5. Madee
6. Peter Msechu
7. Wanaume TMK
8.Amini
9. Linnah
10. MwanaFA
11. Shilole
12. Mzee Yusuph
13. Bell 9
14. Keisha
15. Beka
16. Aisha Mashauzi
17. Ben Paul
18. H Baba
19. Barnabas
20. Nick wa pili
pia mastaa wa Bongo Movie kama Ray, JB, Uwoya, Wema, Johari, Mainda, Steve Nyerere n.k
Watakuwepo pia Orijino Komedi yaani Masanja mkandamizaji,Joti,Mpoki n.k
Wasanii wengine ni Mizengwe, King Majuto, Kitale, Braza K na kina Bambo.
ushabiki mnaojenga wa kimakundi ni mbaya kuwahi kutokea nchini.
wapiga kura ni sisi, wanunua cd zenu bado ni sisi.
JITABUENI.