YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Mimi ni lofa na mpumbavu kama mzee mkapa alivyodai ila 25/10 morning malofa tutachukua nchi
 
Kwanini haujiulizi chadomo ilikuwa inasema "Lowassa ni fisadi" sasa inasema ni malaika? Kulikoni?

Babu Slaa yuko wapi?
Kwani uchafu ni wa milele?Mbona hunijibu kuhusu machenge na wezi wa escrow kwani Lowasa alikwepo?
Tangu lini ccm mmempenda slaa hadi mnamwulizia aliko?
Lowasa tangu 2008 ameacha madaraka ya kiserikali lakini mbona ufisadi umekuwa ukiongezeka ccm? Tatizo siyo lowasa kwa sababu tatizo ingkuwa lowasa basi ufisadi ungekoma ccm tangu 2008. Inaelekea wewe una allergy na Lowasa lakini kina chenge huna matatizo nao.
 
Ndugu yangu,

Vyama vyote vinakuja na ahadi, tena ahadi tupu za maneno.

Ukweli mchungu ni kuwa hata ukimwamini vipi mwanasiasa hatatimiza ahadi zake zote, na wengine huwa hawatekelezi hata moja. Jiulize waliokuwa wakitamba wana ushahidi wa kumfunga Lowassa wako wapi leo? Wanapiga ndio mzee.

Na mwanasiasa hata akiwa ndugu yako ukipata kashfa au akiona utampunguzia kura anakukwepa kuliko ukoma.

Kudanganywa ni kudanganywa tu iwe chama cha zamani au kipya utakuwa umedanganywa.
Tena na chama kipya utasema "heri ningebaki kule kule". Yatakupata ya Mh. Nkumba uwaache watu midomo wazi.

Asiye jaribu kitu tofauti maishani hawezi piga hutua bora ya maendeleo, elewa hilo. Sasa ushauri wako ccm idumu milele, kama ni hivyo uchaguzi wa nini!?
 
Baada ya ufunguzi wa kampeni za CCM kupitia mgombea wao mteule, wapinzani wao hususani ukawa waonekana kuchanganyikiwa kutokana na mwitikio wa wanainchi katika kampeni za Daktari Magufuli.

Kwa hali hiyo imewafanya kuanza kufikiri namna ya kukabiliana na ghalika ya watu waliona kiu ya kusikiliza hotuba za viwango za Dr, hata hivo bado wapinzani wake wanajiuliza ni nini hasa wanaweza kuongea siku ya ufunguzi wa kampeni yao kutokana na maeneo yote kupewa vipaumbele na DR.

Kuna uwezekano mkubwa babu kushindwa kuongea siku hiyo kutokana na ugonjwa wa kutetemeka mwili mzima!!

Watu wa karibu yake wanadai hata lile neno alilozoea kutamka"ZUNGUSHA",yawezekana akashindwa kabisa japo akijaribu kutamka WATAZAMAJI SIJUI WATAZUNGUSHA NINI!!
 
Magufuli ana kitu gani zaidi ya kutumia lugha za vitisho kama simba anaejihami ili asinyang'anywe msosi.
 
Jana Magufuli alikua hapa mpanda, japo w/nchi tulishakata tamaa na MaCCM, tumeamua kurudi na kumuunga mkono.

Hotuba yake ilitushawishi sana, hasa sisi Vijana na kina mama.
 
Umetumia haki yako ya kujianika lakini umetumia vibaya na sio kwa tija. Umemaliza home work? Peleka kwa mwalimu akakuwekee mikasi
 
Baada ya ufunguzi wa kampeni za CCM kupitia mgombea wao mteule, wapinzani wao hususani ukawa waonekana kuchanganyikiwa kutokana na mwitikio wa wanainchi katika kampeni za Daktari Magufuli.

Kwa hali hiyo imewafanya kuanza kufikiri namna ya kukabiliana na ghalika ya watu waliona kiu ya kusikiliza hotuba za viwango za Dr, hata hivo bado wapinzani wake wanajiuliza ni nini hasa wanaweza kuongea siku ya ufunguzi wa kampeni yao kutokana na maeneo yote kupewa vipaumbele na DR.

Kuna uwezekano mkubwa babu kushindwa kuongea siku hiyo kutokana na ugonjwa wa kutetemeka mwili mzima!!

Watu wa karibu yake wanadai hata lile neno alilozoea kutamka"ZUNGUSHA",yawezekana akashindwa kabisa japo akijaribu kutamka WATAZAMAJI SIJUI WATAZUNGUSHA NINI!!

Maneno ka hayo ndo kwanza kuyasikia kutoka CCM? Niulize mimi niliyepoteza ndugu zangu 7 kwenye MV Bukoba na Juzi MV Serengeti kidogo
izame.......ahadi ya Meli hadi leo hakuna Kati ya Bukoba Mwanza...leo hii unatingisha na kuzungusha sketi eti hotuba za viwango. Madafu yako ***&&^%$#
 
Baada ya ufunguzi wa kampeni za CCM kupitia mgombea wao mteule, wapinzani wao hususani ukawa waonekana kuchanganyikiwa kutokana na mwitikio wa wanainchi katika kampeni za Daktari Magufuli.

Kwa hali hiyo imewafanya kuanza kufikiri namna ya kukabiliana na ghalika ya watu waliona kiu ya kusikiliza hotuba za viwango za Dr, hata hivo bado wapinzani wake wanajiuliza ni nini hasa wanaweza kuongea siku ya ufunguzi wa kampeni yao kutokana na maeneo yote kupewa vipaumbele na DR.

Kuna uwezekano mkubwa babu kushindwa kuongea siku hiyo kutokana na ugonjwa wa kutetemeka mwili mzima!!

Watu wa karibu yake wanadai hata lile neno alilozoea kutamka"ZUNGUSHA",yawezekana akashindwa kabisa japo akijaribu kutamka WATAZAMAJI SIJUI WATAZUNGUSHA NINI!!

Subiri aonge na wamama wa bawacha ndio utajua mwelekeo.....ataongea nini na wababa wa ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom