Mwenyekiti Bawacha Mhe. Halima Mdee, makamu mwenyekiti bara Hawa Mwaifunga Katibu Grace Tendega na naibu Katibu kunti Yusuph kuanzia saa tisa watakuwa viwanja vya furahisha hapa jijini Mwanza..Nitawapa updates za kitakachokuwa kinajili ni kwenye operesheni futa delete kabisa ccm 2014/2015...
View attachment 194455View attachment 194456View attachment 194463
Ha ha ha ha ha ha? Njaa imewagonga mpaka mnakula hizi ishu ccm ni zaidi ya unavyodhani.
View attachment 194479
Chagadema chama cha matukio sasa katiba imeisha mmepewa za uso sijui sasa hoja yenu nini make mandamano nayo yamewashinda uzuzu ndiyo taswira yenu.
ccm ni marehemu watarajiwaNyie ukawa kwisha habari yenu mmezikwa.
Ukiwaangalia tu nyuso zao na magwanda yao wamekata tamaa ila wametumwa na mfalme watafanyaje sasa!
BORA KUWA MGONJWA WA EBOLA KULIKO KUWA MWANACHAMA WA CCM .chama cha wapuuzi ccm
View attachment 194483
@Arnold Ringo
Ukitaka Mzee Mangula na yule Weka Mbali na Tembo wapate mshtuko wa mwaka, muulize ile miezi 6 waliyotoa kuwashughulikia wala rushwa na watoa rushwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wao uliopita, mwaka jana!
Au ukitaka kufuta kabisa ungembengembe wa yule Vuvuzela wao, muulize zile siku 90 za kujivua gamba ziliishia wapi? Anaweza hata kukusukumia lile tumbo uhangaike nalo...
Wakati ule tuliwaambia Mangula na Weka Mbali na Tembo kwamba, CCM na Rushwa (Ufisadi) ni sawa na kobe na gamba lake au sawa na binadamu na ngozi. Ukitoa gamba la kobe, mnyama huyo anakufa au ukimchuna binadamu ngozi, haponi. Ndiyo CCM hiyo.
Wahurumie tu kamanda, maana ndiyo sikio la kufa lilivyo.
Unatumia nguvu nyingi za bure kutetea mradi wa familia ya Mtei.
Usifananishe Chadema na ccm, Chadema hakuna Vi memo, bahasha za kaki wala Malori yakupakilia watu kwenda kwenye mikutano vilevile hatugawi chakula kwenye mikutano yetu. Nafikiri umejionea Dodoma kimeendelea nini mpaka mnatafuta mchawi poleni sisi tunawalisha wananchi sera kupinga ufisadi, Rushwa na mambo yote machafu, naona mgao wa dodoma hujapita kwa watu wengi maana buku saba mnatoka povu kweli
......ccm wamejifungia Mwanza wanachungulia madirishani !!!
Unatumia nguvu nyingi za bure kutetea mradi wa familia ya Mtei.