Yaliyojiri: Mkutano wa Halima Mdee ktk Viwanja vya Furahisha, Mwanza - Oktoba 18, 2014

Mwenyekiti Bawacha Mhe. Halima Mdee, makamu mwenyekiti bara Hawa Mwaifunga Katibu Grace Tendega na naibu Katibu kunti Yusuph kuanzia saa tisa watakuwa viwanja vya furahisha hapa jijini Mwanza..Nitawapa updates za kitakachokuwa kinajili ni kwenye operesheni futa delete kabisa ccm 2014/2015...
View attachment 194455View attachment 194456View attachment 194463

Ukiwaangalia tu nyuso zao na magwanda yao wamekata tamaa ila wametumwa na mfalme watafanyaje sasa!
 
BAWACHA wako kazini...nani anaweza kusimama mbele yao...wale wanaopeana rushwa Dodoma kununua ufuasi wa wataka urais hawawezi kufanya kazi za wananchi Kama hizi... Delete CCM, Futa Kabisa kwa maslahi ya umma.
 

Attachments

  • 1413641821935.jpg
    1413641821935.jpg
    79.5 KB · Views: 918
Wananchi wakipiga kura ya wazi kuikataa Katiba inayopendekezwa na CCM na mawakala. Wamepinga nyaraka ya CCM haiwezi kuwa Katiba Mpya ya Nchi...
 

Attachments

  • 1413642071475.jpg
    1413642071475.jpg
    85.7 KB · Views: 515
Ccm watakabidhi nchi 2015 taka wasitake ndio uhalisia wananchi washachoka
 
@Arnold Ringo

Ukitaka Mzee Mangula na yule Weka Mbali na Tembo wapate mshtuko wa mwaka, muulize ile miezi 6 waliyotoa kuwashughulikia wala rushwa na watoa rushwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wao uliopita, mwaka jana!

Au ukitaka kufuta kabisa ungembengembe wa yule Vuvuzela wao, muulize zile siku 90 za kujivua gamba ziliishia wapi? Anaweza hata kukusukumia lile tumbo uhangaike nalo...

Wakati ule tuliwaambia Mangula na Weka Mbali na Tembo kwamba, CCM na Rushwa (Ufisadi) ni sawa na kobe na gamba lake au sawa na binadamu na ngozi. Ukitoa gamba la kobe, mnyama huyo anakufa au ukimchuna binadamu ngozi, haponi. Ndiyo CCM hiyo.

Wahurumie tu kamanda, maana ndiyo sikio la kufa lilivyo.


kamanda Tumaini nimekupata ukijaribu kungalia kwa undani hawa buku saba waliokuwepo kwenye hii thread hasira zao siyo mkutano wa Mwanza ni mgao uliowapitia pembeni alafu hawa buku saba mgao uliwapitia pembeni kwasababu hawamungi yule kule mkono wanapovu sana
 
Kwa hali ilivyo nataka kurudisha kadi yangu ya ccm sasa sijui nimkabidhi nani? Au nitupe chooni naombeni ushauri
 
Usifananishe Chadema na ccm, Chadema hakuna Vi memo, bahasha za kaki wala Malori yakupakilia watu kwenda kwenye mikutano vilevile hatugawi chakula kwenye mikutano yetu. Nafikiri umejionea Dodoma kimeendelea nini mpaka mnatafuta mchawi poleni sisi tunawalisha wananchi sera kupinga ufisadi, Rushwa na mambo yote machafu, naona mgao wa dodoma hujapita kwa watu wengi maana buku saba mnatoka povu kweli

Wewe hujui kitu, masanduku yalikuwa ya aina 2, kuna yale mliojaza kura na mengine yaliletwa yakiwa yameshajazwa ili kuupata uongozi wa juu, yaani ile top 5, wee acha kubwabwaja kama bata.
 
Kura ya wazi wananchi wakiikataa nyaraka ya CCM iliyovalishwa koti la 'Katiba Inayopendekezwa'.

Wakati wanashiriki 'Delete CCM, Futa Kabisa' inayoendelea nchi nzima, wanajiandaa kusema HAPANA!
 

Attachments

  • 1413642256924.jpg
    1413642256924.jpg
    81.7 KB · Views: 132
Back
Top Bottom