Yaliyojiri Mkutano wa Dr. Slaa na waandishi wa Habari - Makao Makuu CHADEMA

huyo achana nae! Ni miongoni mwa mamluki (toka nchi hiyo) kuja nchi hii ili wachume matunda uhuru. Hana uchungu hata kidogo..usishangae hata kikinuka anakimbilia uarabuni waliko wajomba.

khana mrindimo wa misemo ya mpwani alo jaa ufitini,udini kwake ni supu ya pweza,
hatulii kujikhimu na mwezi mtukufu wa raamadhani!
-wapi ewe ajuza faiza 'foski' mtaka pepo ulo isaliti zanzibari kwa usaka tonge!
 
Hiki nini ?

kuwaongoza watanzania kuelekea nchi ya ahadi.

Nikiripoti kutoka makao makuu ya CHADEMA ni mimi mwanaJF Molemo.
Bibie, naona una tatizo la neno nchi ya ahadi. Maana yake ni promised land..yaani Tanzania inayowezekana, bila ufisadi, bila kugawa madini yetu na gesi kwa wageni. Hata Musa aliwaongoza banisrail kuelekea nchi ya ahadi. Unalo jengine?
 
hizi porojo tumezizoea, nashangaa hakuongelea:

Chopa tatu kata tatu?

Kalenga 20%

chalinze 10%

na misukule mnashangilia tu. Amma kwa hakika wajinga ndio waliwao.

hakika ewe mwan hidzaya hutaiona pepo!
-watetea wezi,mafisadi c.c.m lakhaula kwata?
 
Bibie, naona una tatizo la neno nchi ya ahadi. Maana yake ni promised land..yaani Tanzania inayowezekana, bila ufisadi, bila kugawa madini yetu na gesi kwa wageni. Hata Musa aliwaongoza banisrail kuelekea nchi ya ahadi. Unalo jengine?

Wacha kucheza na maneno, usifikiri wote humu ni misukule kama wewe, hamtotawala ng'oo na hiyo ni ndoto tu yenu.

Genesis 17:8 Verse Concepts

"I will give to you and to your descendants after you, the land of your sojournings, all the land of Canaan, for an everlasting possession; and I will be their God."
- See more at: 14 Bible verses about The Promised Land

Ndicho alichokwenda kuahidi Slaa na Mchumba:

 
baada ya kufukuza critical thinkers ndani ya chama ndio anazungumzia uchaguzi??? kama kweli yeye ni makini waruhusu uchaguzi huru ili zitto ashiriki uchaguzi huo

do you mean zitto is critical thinker or shoza,mwigamba,mkumbo etc? niliwahi kuuliza mswali humu kuhusu zitto hakuna yeyote aliyeyajibu hadi leo,naomba niulize tena leo
1. zitto akizungumza na waandishi wa habari na pia hata kwenye mikutano yake kigoma alisema moja ya sababu za kufuliwa nyadhifa ni kuwa hakuwatonya wakuu wake wa chama kuhusu ukaguzi wa mahesbu,maswali yangu,
:flame:kabla ya kuwa m/kiti wa kamati ya bunge zitto alikuwa naibu k/mkuu je,kama naibu k/mkuu hakujua kuwa chama chake hakijakaghuliwa na CAG kama sheria ilivyotaka? na kama alijua alichukua hatua gani? kama hakuchukua hatua yoyote ile, sitakosea nikisema kuwa alisubiri akayaseme majukwaani ili kupata cheap popularity na kuonyesha umma kuwa yeye ndo anafaa kuliko wengine.
na je kama alijua akakaa kimya hiyo niyo maana ya critical thinker?
kama hakujua kuwa chama chake kilikuwa kinaenda kinyume na sheria ya ukaguzi na ila alipopewa uenyekiti wa kamati ya bunge tu akajua,nikisema kuwa hakuwa kiongozi makin ntakuwa nimekosea?

2.zitto akiwa nzega kwenye mkutano wa hadhara mwezi wa mwaka jana,baada ya watu kutaka ataje majina ya walioficha fedha nje (uswisi)aliwaahidi wananchi kuwa serikali ilikuwa imeahidi kutoa taarifa ya fedha hizo kwenye bunge la mwezi wa kumi huo na akasema kuwa kuna timu ya vijana wachapa kazi ilikuwa imeendwa kufuatilia hizo fedha na walikuwa wamepata taarifa zaidi na kugundua fedha nyingi zaidi ya zile alizokuwa anazijua yeye,kwa maneno yake mwenye akasema serikali ikishindwa kutoa taarifa basi atatoa yeye ili wananchi wajue wezi wao wa fedha,majibu ya serikal yakaonyesha kuwa zitto mwenyewe alikiri kwa maandishi kuwa hana majina ya hao watu,na yeye kukaa kimya kuashiria kuwa taarifa ya AG ilikuwa sahihi,
je alipokuwa anaahidi kutaja majina na huku hana alitaka nini?,je kiongozi ambaye anajiita makini ndo huo umakini? is that a critical thinking?

3.hakuna binadamu aliyeperfect 100%,mtu ambaye anadhani wazo lke pekee ndo sahihi bila kujuanni wangapi wamelikubali wazo hilo,huyo ni mgonjwa(refer grandiose),ukiona kiongozi anawaita viongozi wenzake wahafidhina,eti hawataki mawazo mapya na kutaka kuwaaminisha watu kuwa yeye ni perfect na mwazo yake ndo sahihi,yeye ndo anafaa kuongoza wengine hawafai na kiongozi yeyote asiyekubaliana na mawazo yake ni mhafidhina,ni lazima kujiuliza dhana ya uongozi ya huyo mtu,kama kiongozi anatakiwa kukubali mawazo ya viongoz na pia kukubali pale mawazo yake yanapokataliwa na wenzake,je zitto ni kiongozi kweli?
yapo mengi ila naomba unijibu tu haya kwa leo na hata zitto ambaye ni member humu majibu yake yatakuwa ya muhimu sana

najua wapo wa kutukana badala ya kujibu,hayo ni mawazo yangu,kama huna jibu bora ukaacha kujibu
 
Yaani Rais wa Nchi aache kututumikia wananchi aje abishane na huyu mkora!

Huuu uzi ni mwiba mchungu sana na mkali mno kwako wewe msalani na magamba wenzako wooote mpaka kikwete mwenyekiti wa magamba.
 
Yaani Rais wa Nchi aache kututumikia wananchi aje abishane na huyu mkora!


Rais gani? Tanzania hakuna rais....labda kama anakutumikia wewe...mimi najua kazi ya huyo rais wa magamba ni kusafiri....kwa hiyo anatumikia mashirika ya ndege kwa kutengeneza pesa nyingi za walipa kodi.

Tanzania hakuna rais
 
Wacha kucheza na maneno, usifikiri wote humu ni misukule kama wewe, hamtotawala ng'oo na hiyo ni ndoto tu yenu.

Genesis 17:8 Verse Concepts

"I will give to you and to your descendants after you, the land of your sojournings, all the land of Canaan, for an everlasting possession; and I will be their God."
- See more at: 14 Bible verses about The Promised Land

Ndicho alichokwenda kuahidi Slaa na Mchumba:

Bibie , uko chuo cha ngapi? Unajua tayari tumeshagawa mwezi mambo yanakuja soon.....karibu daku
 
media zote Dr.Slaa,magazeti yooote asubui hii ni Dr,wale buku 7 mliofungu ni bora leo msifunge ili mpambane iwe rahisi kutukana
 
JK ameyataka mwenyewe yote haya.

Watu wameshaweka msimamo wao kupitia uchochoro wa Jaji Warioba wa serikari tatu na hawataki kingine tena. Rasimu iliyopelekwa bungeni kujadiliwa na kurekebishwa hili iweze kukidhi kisheria na iangaliwe kama bado itajenga taifa. UKAWA wao wameona swala la serikari tatu pekee tena kwajicho la tume na awaamini kingine tena.

Maana hata hayo mapendekezo pekee ya rasimu yanahitaji kuangalia government institution kama zipo sawa kimapendekezo ya serikari tatu na zitafanya kazi vipi in line with checks and accountability. Wao hapana ibaki kama jaji warioba alivyoileta. Wakati kialisia utendaji wa vyombo vya serikari lazima vibadilike sana chini ya serikari tatu, rights lazima zibadilike vilevile kama ZnZ wakichukua a consevative Islamic approach maana ina mipaka yake inayotambulika nayo kama taifa, in short chini ya serikari tatu kuna katiba ya tatu pia sio mbili ya ZnZ, Tanzania bara na ya Tanzania.

UKAWA wanajua wazi awawezi shindana na CCM wala na wananchi watashindwa tu kwenye kura ya serikari tatu kupitia bunge, awataki wengine wowote wawe na msimamo mwengine wa muundo wa serikari wao ndio sawa na tume ya jaji warioba. Sasa unajadili nini na mtu ambae kesha amua. Sanasana wanapoteza muda tu au labda CCM na wenyewe kwanza waseme wazi kwa wanachama wao liwale na liwe amueni mtakavyo, vinginevyo it is not on UKAWA interest habari ya serikari mbili. Aamzing bado wanabembelezwa to do what then? maana tabia zao za kitoto zipo wazi ni mimi hapa nataka or else.

In short rasimu yenyewe aijielewi inataka nini, maana kama ni serikari mbili aiwezi fanya kazi kwa mapendekezo yale na kama serikari tatu imeacha mengi sana za kimfumo wa kitaasisi, halafu the responsible people of this constitutional draft were the top experienced contract lawyers and judges in their past life (amazing), unaweza kuona kwanini mikataba ya gesi tu inatushindwa leo tunataka kujadili mkataba wa taifa na uhai wa taifa lenyewe kupitia watu hawa.

Worst still raia aliyepewa ‘prerogative powers’ na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kulinda nchi ndie anaepita na kutema pumba mbele ya makanisa (wakati katiba imesema aina dini, kwengine wangekomaa nao hawa watu wadini wafunge midomo) raisi ndie anatumia platform za mikutano ya dini kusukuma hamasa ya UKAWA na wajumbe wengine kurudi na waamue watakavyo wakitaka serikari mbili au tatu sawa hila mimi msimamo wangu ni huu wa serikari mbili, unajiliza hivi anajua hata sababu za kupewa madaraka yote kikatiba kwa sababu ya nchi in the first place? Only in Africa.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kujitokeza hadharani kutangaza sabuni kwa kampuni ya kimataifa ili ichunguze matumizi mabovu yaliyofanyika katika akaunti ya ESCROW.

Katibu Mkuu wa Chadema Dk.Slaa alitoa kauli hyo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam Jana.

Alisema kuwa matumizi mabaya yalifanyika katika akaunti ya ESCROW hayana tofauti na ufisadi uliofanyika katika akaunti ya mambo ya nje (EPA).

Alisema Jambo la akaunti ya ESCROW ni kubwa ambalo halipaswi kufanyiwa "blaa blaa" bali linatakiwa kufanyiwa uchunguzi wa kina kama ilivyofanyika kwa akaunti ya EPA.
 
Rais Kikwete kila siku yupo hadharani, Dr Slaa unataka ajitokeze mara ngapi? Au ndo gear ya kutaka kwenda Ikulu kunywa juice?
 
Back
Top Bottom